Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kwa Mengi ni kama chuo cha experience anaondoka mtu anakuja mtu na wala hawatetelekiNajiulizaga sana, hvi East Africa Radio hawalipi vizuri? Au ukiwa pale majungu mengi? Au meneja vipindi au mkurugenz hana uelewa wa kazi yake? Miaka nenda miaka rudi East Africa radio wanakuwa na watangazaj/dj's wazuri and then huwa hawakai na wanaondoka mfano, Dj Mafuvu, seba (yupo choice fm) George Bantu, Kenedy,Mamy (clouds )
Nani mshkaji wako?Niaje washkaji zangu.? I hope weekend imekaa powa sana.
Leo ninapenda kuweka wazi ni jinsi gani Ninawakubali hawa watangazaji wawili kutoka cloudsfm, kiukweli sikuwa msikilizaji wa clouds bt hawa ndo wamenifanya nihamie katika masafa ya clouds fm. Kinachonifanya niwakubali ni Aina yao ya Utangazaji,hawa sio waigizaji pale wanapo kuwa on air wana aina flani hivi ya swaga ambayo watangazaji wengine "Kwa mtazamo wangu" wamekosa,wanajua kuburudisha na kukufanya uwe focus kusikiliza radio,. Ile sauti ya mamy pamoja na kicheko chake ndo kabisaaa kinaniturn me on. Napenda sana kuwapongeza vijana hawa wawili kwa kazi nzuri wanayofanya bila kumsahau Dj sinyorita.
Nawatakieni Weekend njema
*Mwenye namba ya mamy ani"PM" tafadhali
Najiulizaga sana, hvi East Africa Radio hawalipi vizuri? Au ukiwa pale majungu mengi? Au meneja vipindi au mkurugenz hana uelewa wa kazi yake? Miaka nenda miaka rudi East Africa radio wanakuwa na watangazaj/dj's wazuri and then huwa hawakai na wanaondoka mfano, Dj Mafuvu, seba (yupo choice fm) George Bantu, Kenedy,Mamy (clouds )
kinaniturn me on.
Ni Kweli Clouds wako free tatizo mkataba huon Fetty kasepaHata huko clouds hawalipi kiihivyo ,uzuri kule wako free mno ,na mipango mipango mingi,clouds now staff wanalilia mikataba
we ndo mchizi wanguNani mshkaji wako?
Kua na nidhamu Nani unamwita chizi mwenzakowe ndo mchizi wangu
Well, I think itvis a matter of masilahi, usikute hua wanatangaziwa dau kubwa than kituo wanachokuepo, hivyo hua inawabidi wahame ...Najiulizaga sana, hvi East Africa Radio hawalipi vizuri? Au ukiwa pale majungu mengi? Au meneja vipindi au mkurugenz hana uelewa wa kazi yake? Miaka nenda miaka rudi East Africa radio wanakuwa na watangazaj/dj's wazuri and then huwa hawakai na wanaondoka mfano, Dj Mafuvu, seba (yupo choice fm) George Bantu, Kenedy,Mamy (clouds )
[emoji23]Kua na nidhamu Nani unamwita chizi mwenzako
"Truth to be told" EA radio(ipp media) iko powa sana na wamejipanga bt nahisi kuna kitu kinamiss ndio maana wafanyakazi wanakimbia. Kama ningepata nafasi ya kumshauri bwana mengi ningemwambia awape mikataba na pesa nono wafanyakazi wake.
Kabisa mkuu,clouds nao ni wale wale..kwa tv inayolipa vzr ni TV 1 ,Kwa bongoKWANI CLAUZ WANAPEWA PESA NONO KIASI GANI?...KWELI USILOLIJUA USIKU WA KIZA NA HATA KAMA UNA NOKIA YA TOCHI NAYO HAINA CHAJI...AHAHAHHAHHA.
Hahahaha..sawa sawaNi Kweli Clouds wako free tatizo mkataba huon Fetty kasepa