Kenedy 'The Remedy' wa Clouds FM

Changes gani ameleta kwenye Entertainment Industry? Uniqueness gani anayo? Kitu gani kinamtofautisha na wengine ambacho wengine hawana kabisa
Labda anamchezea nyimbo anazozipenda yeye.
 
The Cruise kulikuwa na mtu anaitwa Bazil Mbakile........alikuwa ana simama pekee yake.
 
MWANAUME KUMSIFIA MWANAUME MWENZAKE NI USHOGA WA KIWANGO CHA MASTERS DEGREE ASEEEEEEEEEEE
Huko sio kusifia ni kukubali kazi ya mtu. Wazungu wanasema ku appreciate!

Kama huwezi ku appreciate mwenzio anachifanya huwez fanikiwa. Na mara nyingi watu kama nyinyi msio appreciate wenzenu wanavyofanya au success za wenzenu huwa hamtoboi!

Roho mbaya na wivu wa kike haujengi mkuu. Learn to appreciate your fellow men for what they do!

Yaani nyie mtu akifanya vizuri lazima mtafute sababu hasi (na mara nyingi huwa hamzikosi) za kumfanya aonekani sio sifa yake au sio juhudi yake au hastahili kusifiwa kafanya vibaya.

Mchawi mpe sifa yake! Mtu ameweza kupaa kubali kwanza kapaa sio unaanza mara oohh katumia hirizi, mara ooh katumia dawa, nk. Kwani wewe hizo hirizi na dawa huzioni?? Let's be real

Mtu una mroho mbaya kama huo utatoboa kweli??
 
Si yuko kwenye list ya KONK KONK master
 
Utakuwa na Shida Ww, Unaanzaje Kutamani Sauti Ya Mwanaume Mwenzako
 
Kuna wasemaji wa kwenye redio na watangazaji wa redio.

Clouds ina wasemaji wa redioni EA Radio ina watangazaji.
Lakini Watangazi wanaiga wasemaje, Leo nimesikiliza kipindi cha akina Dullah nikaskia wanaiga kale kamsemo ka Clouds ka Sawasawa kwa tone ile ile. Nikawaza kwanini clouds ina effect sana kwa watangazaji wa redio nyingi hasa hizi redio za mkoani. Mtu anataka acopy apaste vile vile Mchomvu anavyotangaza
 
mamy baby alikuwa mtangazaji wa muda mrefu radio 5 arusha
 
Nashauri Mengi aongeze dau, huyu dogo aweze kurudi EA Radio.
 
Najiuliza ina maana mzee Mengi alishindwa kuwalipa hawa vijana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…