Kenedy 'The Remedy' wa Clouds FM

Mi namuona wa kawaida tu, kwa hawa watangazaji wa vipindi vya burudani wa miaka ya hivi karibuni naona Lil Ommy kidogo ana upekee
 
Endelea kuifatilia mkuu sasa hivi imerudisha heshima yake
 
Mi namuona wa kawaida tu, kwa hawa watangazaji wa vipindi vya burudani wa miaka ya hivi karibuni naona Lil Ommy kidogo ana upekee
Upo sawa mkuu Ommy yupo tofauti kabisa
 
WOza woza woza woza King The Smash!!! Nilikuwa nasikilza sana The Crewz ya John Dilinga Matlou.
 
Huyo jamaa hamna kitu kabisa , kazi yake kudandia dandia tu
 
Hayumo huyo kwenye listi ya mr konki?Maana clouds kasalimika Masudi Kipanya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…