Pichani ni Kengele ya Umeme Inayopatikana Katika Maktaba ya Oxford,
Inafahamika kwa jina la OXFORD ELECTRIC BELL wengine huiita CLARENDON DRY PILE.
Kwa Mara ya kwanza iliwashwa Mwaka 1840 na inarun mpaka leo, Kwa maana iyo ina miaka 180 ikipiga Kengele bila kuzimwa. Inasemekana ni moja ya vifaa vinavyofanya kazi kwa mda mrefu (Long-term experiment)
Ilikuwa ni moja ya vipande vya kwanza kununuliwa kwa ajili ya kukusanya vifaa vya Maktaba na Mchungaji pia MwanaFizikia Robert Walker. Inasemekana ilitengenezwa mwaka 1825.
Eti inasemekana wanasayansi hawajui composition ya battery yake hadi kupelekea ifanye kazi kwa muda mrefu hivyo na hawataki kuifanyia chochote wakihofia kuiharibu.
.
Funny fact