KENGOLD SPORTS CLUB: Tumefungwa Ila sio goli tano (5)

Nyie ndo mmechana mkeka wa mwanetu
 

Attachments

  • 037D9921-AC8F-410D-ADA4-DB6969055B99.png
    767.7 KB · Views: 4
  • 2001E597-CBD6-4B78-9391-3BAB7D70359C.png
    663.8 KB · Views: 3
Wakikaza kama walivyomkazia yanga amuokoti ata point ya kujifariji pale sokoine, sema wamekutana na mfupa ngumu wakapigika ingawa wamepunguza idadi ya magoli!
Hawa watoto wakikutana na Simba Simba wanakula kichapo kwa jinsi nilivyoingalia ile game Simba atapigwa
 
Wanamaanisha hao Utopolo hawajaweza kuwapiga 5 kama mnyama alivyo washenyenta 5 kwa 0...
Mwaka gani tafuta rekodi...
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…