GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sasa ifike muda Wachezaji wa Tanzania wawe wanapewa Elimu ya kujua Kuzungumza hasa pale Mic zikiwa zimewekwa Midomoni mwao kwa ajili ya Wao kusema lolote. Sijawahi kuona Mchezaji wa Ulaya hata kama akiachwa na Klabu yake akiondoka na akifanya Interview na Watu wa Press basi anatukana au anamalizia Hasira zake zote za Kuachwa / Kutemwa.
Ukitaka kujua (hasa kwa wale Matomaso) alichosema nenda katika Ukurasa wa Instagram wa davidpascol utamuona na kumsikiliza pia.