utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Machampion watetezi wa ligi kuu ya Nbc na kombe la Azam Federation Yanga jioni ya leo imemtambulisha mshambulia wa kimataifa wa Zambia Kennedy Mussonda kutoka klabu ya Power Dynamos Fc ya huko Zambia
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa usajili huo umeigharimu Yanga Million 300 na kuufanya usajili huo kuwa miongoni mwa sajili ghali zaidi hapa nchini baada ya ule wa Aziz Ki
Kazi iendeleee....... Litakufa jitu