Kennedy Mussonda atambulishwa rasmi Yanga

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Machampion watetezi wa ligi kuu ya Nbc na kombe la Azam Federation Yanga jioni ya leo imemtambulisha mshambulia wa kimataifa wa Zambia Kennedy Mussonda kutoka klabu ya Power Dynamos Fc ya huko Zambia

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa usajili huo umeigharimu Yanga Million 300 na kuufanya usajili huo kuwa miongoni mwa sajili ghali zaidi hapa nchini baada ya ule wa Aziz Ki

Kazi iendeleee....... Litakufa jitu
 
Yaani kuna timu itakimbia mechi ya marudiano.. huku Mayele kule Mussonda halafu Hawa wenzetu kibu d kule Habib kyombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jaman jaman jaman watu nawaonea huruma sana
 
Kocha mbrazili anataka kumpa ukapteni Kibu D kwa kiwango kikubwa anachoonesha mazoezini[emoji1][emoji1]
 
Yaani kuna timu itakimbia mechi ya marudiano.. huku Mayele kule Mussonda halafu Hawa wenzetu kibu d kule Habib kyombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jaman jaman jaman watu nawaonea huruma sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yanga haijawahi kuitisha Simba, sare zimekuwa nyingi siku hizi. Lakini Simba imeshaichapa Yanga goli 3, 4, 5 hadi 6, bado 7 hazijatokea
 
Kila la heri kwake. Wananchi tunataka magoli, ili tuendelee kuwa mabingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmesahau mzee wa riadhaa, kisinda, sahv mmehamia kwa musondaa? Tunasubirii kuonaaa maajabu yakee.

Msipoanza kuhemkwaa, na huwa hamchelewi.
 
Yaani kuna timu itakimbia mechi ya marudiano.. huku Mayele kule Mussonda halafu Hawa wenzetu kibu d kule Habib kyombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jaman jaman jaman watu nawaonea huruma sana
hawa jamaa kazi wanayo tena sio ndogo.
 
Kila la heri kwake. Wananchi tunataka magoli, ili tuendelee kuwa mabingwa wa ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo.
Mlichukua zaidi ya 20 mkawa bado omba omba. Ni mabingwa zaidi ya 20 lakini mnawazidi Ihefu jengo tu lililochoka. Hii ligi siyo aisee au Wewe unaonaje?
 
Wachezaji wa Kizambia wakija bongo huwa wanafanya vizuri, ngoja tuone huyu ata perform vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…