Kenneth Simbaya President mpya wa UTPC

Kenneth Simbaya President mpya wa UTPC

kkiwango

Senior Member
Joined
Aug 27, 2007
Posts
173
Reaction score
16
Hongera kwake, Je ndio safari ya kuelekea kwenye jukwaa la siasa za Tanzania au itaishia hapo hapo??
 
Kkiwango..... Umetuacha wengine kapa hapo Mkuu....

Who is he??
What is UPTC???
Safari ya kisiasa?

Hebu weka nyama bwana manake umetuwekea skeleton tu Mkuu!!! Ilivyo mimi sioni hoja ya kuanza kuichambua humu jamvini!!!

Tukiachana na hayo naomba nikukaribishe jamvini Mkuu....
 
Hongera kwake, Je ndio safari ya kuelekea kwenye jukwaa la siasa za Tanzania au itaishia hapo hapo??

Kiwango bwana . Sasa ndiyo unatufanyia nini ? Hebu tumwagie nasi tujue kipi kinajiri ndugu .
 
Back
Top Bottom