KENWOOD Mziki mnene unauzwa

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,229
inatumia cd
inatumia flash
inatumia bluetooth
bei 720,000 (laki saba na elfu ishirini)
inapungua kidogo
kwa maelezo zaidi 0687 089980
iko mkuranga, ukilipia utasogezewa mpaka mbagala.
 
150K unadanganya mie yangu Technics niliifata Zenji kwa 450K nikaivusha maji kwa gharama zangu mwenyewe kisha unasema hapa K/Koo utaipata kwa laki na 50???

Labda kama ya wizi!
 
...............Hii kitu ni noma mkuu,nnayo Technics hizi radio ni radio hakuna wa kuzishinda ila zinawafaa wagumu kama wewe mtu wa mataa mataa kaonane na kina Bwashee pale Uhuru au Agrey street wakupe subwoofer zile za kichina.
Okey..safi
 
wanazouza kariakoo zinatumia cassetes, radio na cd tu.. hii yangu inatumia flash, bluetooth, radio, cd na cassetes ndio maana bei ni tofauti kaka.. isitoshe amplifaya ya redio hii ni kubwa kiasi inaweza kusukuma spika kubwa kuliko hizi[emoji41]
 
...............Hii kitu ni noma mkuu,nnayo Technics hizi radio ni radio hakuna wa kuzishinda ila zinawafaa wagumu kama wewe mtu wa mataa mataa kaonane na kina Bwashee pale Uhuru au Agrey street wakupe subwoofer zile za kichina.
ni kweli.. wale wa mataa hawawezi kunielewa hapa[emoji848]
 
hata hii yako ni kopi.. mara ya mwisho samsung ku produce s7 ilikuwa mwaka 2016.. ukiona mpya ujue wachina wametumia fursa[emoji41]
Umejuaje kama yake ni fake au we ni hater tu? Mwenzio kasema 320 wewe unataja za aggrey 250 kwani kataja mwaka wa simu yake hapa eti 2016..wabongo kwa kuchukiana bila sababu tu....
 
Umejuaje kama yake ni fake au we ni hater tu? Mwenzio kasema 320 wewe unataja za aggrey 250 kwani kataja mwaka wa simu yake hapa eti 2016..wabongo kwa kuchukiana bila sababu tu....
ebu cheki heading ya mwanzo wa huu uzi, utagundua huu uzi ni wanani kisha utagundua nani ni hater kati yangu na yeye[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…