ni kweli kabisa.. ukiwa unaiunganisha kila siku inachosha.Dah! ya zamani sana hiyo mkuu; niliinunua moja kama hiyo hiyo e-bay mwaka 1997 (yaani ilikuwa imeshatumika pia). Baada ya kuitumia miaka kumi nikaitoa msaada kwenye charity mwaka 2007. Ilikuwa inatoa sauti nzuri sana ila sasa ilikuwa pia imepitwa sana na wakati. Maboksi yalikuwa mengi na waya nyingi za kuyaunganisha zilikuwa ni nyingi sana: Tuner, Graphic Equalizer, Cassete Player, CD Player, Stereo Amplifier. Halafu maboksi hayo mengine yalikuwa yamepitwa sana na wakati kipindi hicho (2007), kwa mfano Casette Player, CD Player, Graphic Equalizer na Stereo Amplifier ni vitu vya kizamani.
Hii radio naijua vizuri tu mkuu.uwezi kufananisha na sony 1200 watt.yani uwo mziki wako unaingia mara 6 kwenye sony ya watt 1200unaijua hiyo redio vizuri mkuu!!!!
kama unazngumzia uzamani unawezakuwa na hoja ila sio hizo watt zako za kukaririshwa kwenye risiti.
Hii takataka yenu ingekuwa na maana ungekuwa unaikuta kila nyumba ila naimani hata wew ukiambiwa uchague sizani kama utaacha sony uchukue uwo uchafuok.. waambie pia watts 240 za muziki huu ni kubwa kuliko watts 1200 za home theatre za kariakoo.
Mi hii takataka nikipewa hata bure sichukui bora nisiwe tu na mzikihivi hilo kombora ushauzaa
1200 ni jumla ya watt zote zinazopatikana kwenye speaker.Hii radio naijua vizuri tu mkuu.uwezi kufananisha na sony 1200 watt.yani uwo mziki wako unaingia mara 6 kwenye sony ya watt 1200