MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Bashite na baba yake wamefanya kazi nzuri sanaTaifa stars imepata matokeo mazuri Sana, imecheza mpira wa kiwango Cha lami.Tunashukuru ilani ya chama cha kijani imekuwa implemented.
Maendaleo hayana chama.
Kesho TBC itaonyesha liveRedio station zote kesho nadhani zitafuta matangazo ya taifa stars
Wamekomeshwa na JaguarBashite na baba yake wamefanya kazi nzuri sana
Kwee kweee kweee kweeee....Kesho TBC itaonyesha live
Hongera kenya sasa tutapata usingizi
+254Hongera kenya sasa tutapata usingizi
CCM wanauogopa huo mkono kama wanavyoogopa upinzani tanzania
Hhhhh!!!nomaaaCCM wanauogopa huo mkono kama wanavyoogopa upinzani tanzania
.Hongera kenya sasa tutapata usingizi
Huyu jamaa kweli aliwaletea bahati mbaya.
Mkosi mkubwaHuyu jamaa kweli aliwaletea bahati mbaya.
Huyu jamaa kweli aliwaletea bahati mbaya.