Kenya 7s down Samoa in Cape Town

Nilijua tu lazima uhorojeke...seven a side iko famous in kenya pekee...
Hamna team au Nchi moja pale LDC na Kama unabisha Weka hata team moja kwenye sevens iliyo na u humi wa LDC Kama wa Tz.
 
What a great weekend! Thanks to Shujaa. The famous E.African flag is flying high for real. [emoji1139]
 
Mkuu acha kushabikia ujinga. Huu mchezo wa 7 a side kwa wenzenu ni watu wa bar anaunda club na kucheza kama passtime, nashangaa nyie mnaweka n bajeti kabisa kujiandaa.
Wenzetu ndio kina nani hao? Kama unamaanisha Tz itakuwa ni ajabu kuona walevi wa mbege na wanzuki, wenye utapiamlo, uwanjani wakifa bure mmoja baada ya mwingine.
 
The boys went down 17 - 5 against RSA. Well in guys!!! We shall get em next time!! No shame in loosing to the host and current world champs!!
 
Hongera Kenya, ila nyie mbona hamtupi support kwenye Ndodi aka masumbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…