Kenya; 90% ya Barabara za Kenya hazina Lami

I don't deal with articles without dates.
 
Hongera kenya kwa kujenga 12,000 KM za barabara..

Tanzania imejenga 7000 tuu hadi leo.

Anayebisha afungue tovuti ya tanroad
 

Are you retarded? 😂 😂 😂
Kenya nchi ndogo ina lami karibu mara mbili ya lami za Tanzania.
Whether lami inaunganisha county zote ni non-issue. Lami imejengwa kwenye watu wanaishi.

We can't build tarmac in the desert where nobody lives just so we can say we have built everywhere.
 
Wah! Tz na ukubwa wake iko na 12000 km only? Naona ni kwa Nini wamehepa ule Uzi wa mabarabara 😂😂
 
Lamu iko coastal Kenya[emoji16][emoji16]
 
Embu kaa chini soma ulichoa andika,sasa kama mnajengea watu mna watu gani kuizidi tz!!!
 
Wah! Tz na ukubwa wake iko na 12000 km only? Naona ni kwa Nini wamehepa ule Uzi wa mabarabara [emoji23][emoji23]
Hahahahaha, failed state hata barabara hamuwezi kujenga, reli imewashinda, zaidi ya tribalism na ukabila, nini tena mnaweza?
 
Vipi huku kwenye watu, mbona mnadangaya kwamba barabara zimejengwa kumbe hamna kitu wabunge wanalalamika?
 
Hahahahaha, hii nayo ni Blogger?
 
Hongera kenya kwa kujenga 12,000 KM za barabara..

Tanzania imejenga 7000 tuu hadi leo.

Anayebisha afungue tovuti ya tanroad
Hahahahaha, hapa tuna kwenda kwa facts, kama unayosema ni ukweli, weka hapa watu waone.
 
bwahaha....kuna maneno niliyanukuu katika ile ripoti...hujai quote mpka sasa joto lajiwe...

kenya 21000km
tanzania 12000km
wuhuhuuuuu
 
bwahaha....kuna maneno niliyanukuu katika ile ripoti...hujai quote mpka sasa joto lajiwe...

kenya 21000km
tanzania 12000km
wuhuhuuuuu
Failed state ninyi, mdomo mtupu na kupenda kujisifia, never again compare your failed state na sisi.
 
Sasa ni wapi qamesema ni 90% aren't tarmacked
Acha kupoteza muda wako, kama media zimemnukuu mtu au Serikali, kama huyo mtu hajapinga au kutolea maelezi, hiyo habari inabaki kuwa kweli. Kwenye barabara tumemaliza.

Tuingie katika UMEME tuone huko nako kukoje?, hii ndio hali ya UMEME ya Tanzania.
 
Umeme Tanzania is at 32.7%.
 
Hahaha joto la jiwe unajifariji Sana ila $99b economy ya failed state humtaifikia hata na watukuu was watukuu wako. Sasa weka Jina kibera, maparachichi na eurobond hapo afu mkishanunua betri za ATCL unitag Buda afu pia Bagamoyo ikikamilika pia tag me 😂
 
Failed state, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…