joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #81
jamaa kasema internationa organisations zinapatikana cbd ..bwahahaa..kisha wasema waijua nairobi...uko desperate mfuasi wa msukuma...
Mbona sijaona International organization hata moja ikiwa na ofisi Kibera?International organizations ziko;
1 Kilimani
2.Mombasa road
3.Westlands
4.Kileleshwa
5.Parklands
6.Upper hill
7.CBD
8.Ngong' Road
9.Thika
10. Athi river
11. etc
Ninyi mkiambiwa ni failed state mbakasirika, David Ndii aliwaambia sana kuhusu upumbavu wenu wa kutotumia akili wakati wa kupanda miradi, sasa hivi mnaanza kujuta. Failed state ninyi
Mbona sijaona International organization hata moja ikiwa na ofisi Kibera?
Kibera inangoja Dar ikuwe nayo kwanza, haitaki kupea competitor gap kubwa sana kimaendeleo. Dar ndio size ya kibera.
Hahahahaha, hii ni kuonyesha kwamba nchi nzima ya Kenya imeoza, haimaanishi tuache " main topic" Hahahahaha.If animals were to be classified according to their characters you could have fallen in the group of apes especially monkeys. You have a dominant trait in you which is kurukaruka. Your discussion is not in a line, Mara mob huwa ukilemewa in an issue unajump to another story. Anyway, it seems that's what suites you well, endelea kurukaruka naenda kukutafutia miti usije ukaanguka.
kweli zinaungua hahahahπππ Wanapika data mpaka zinaungua kama kaukau, waje Tanzania wajifunze, ππ ndio maana ile thread yote pages zaidi ya 55 ni thika highway tu ndio inawekwa.
Ilete hapa hiyo ripoti sisi hatujaiona, sasa board members wanasema wamejenga 12,000. Wewe unapiga bila ushahidi, kabla ya kuleta ripoti au kumsikia Waziri kukanusha Maneno ya board, ukweli utabaki kwamba Kenya mpo na 12,000 pekee.teargas....hawa jamaa kumbe ile thread yako imewauma sana....bwahahaaa...hadi jamaa katafuta blog na kuileta km thibitisho....heheheer....ugueni pole pole tu...
ripoti ya KENHA na KERRA mmeshindwa kuipinga..bwahahaaa..
thread yako hii haiendi mahali...itakufa tu
Nie mnaugua ugonjwa wa wivu na small mindedness.Uongo uliopo hapa ni wa kutatanisha ili mjiliwaze roho zenu chafu.Sindano kali hii
Kenya: Over 90% of Roads Are Not Tarmacked, Report Shows
Umewekewa ripoti ya board members wanasema hivyo, wewe unayepinga ni nani?Nie mnaugua ugonjwa wa wivu na small mindedness.Uongo uliopo hapa ni wa kutatanisha ili mjiliwaze roho zenu chafu.
Kibera inangoja Dar ikuwe nayo kwanza, haitaki kupea competitor gap kubwa sana kimaendeleo. Dar ndio size ya kibera.
Kenya ni wakongwe kwenye taaluma ya data management ππBasi Tz ni 99.99% bila Shaka π