toa inzi kwenye nyama aisee.
πππ Wanakumbuka shuka kumekucha...πππ
πππ Ndo mwisho wao wakufikiliππ Samehe!!Sasa ulijua ni kuweza sana kununua hiyo???,ni upuuzi tu.
Akili zao hawa jamaa bhana, yani jeshi lililoleta Ukombozi Africa lisiwe na vitu vdg km ivyo?[emoji23][emoji23][emoji23] Wanakumbuka shuka kumekucha...[emoji23][emoji23][emoji23]
Povu la nini sasa kijana. Jeshi la kenya ni so weak, ni goigoi. Limejaa wezi na walevi.nani kasema ni za kupigana? hivi mbona watanzagiza wana upungufu wa kuelewa hivi?