Kenya Air Force new birds....

Corruption and mal management in Kenya is on pluto now, the war engagement in Somalia πŸ‡ΈπŸ‡΄ is the marketing strategy of US πŸ‡ΊπŸ‡Έ for their weapon sales, US introduced Somalia πŸ‡ΈπŸ‡΄ war to Kenya for her backstage interests and Kenya by using chicken heads they set in the trap big time ever.
 
More experience? Come again buddy
 
Hakuna siri. Hamna chochote. LDC nyinyi
 
Wakati watani wetu wanacheza ligi ya bombardier sisi tunacheza ligi ya C-27J spartan! haya kuleni kwa macho...

View attachment 860473
View attachment 860476
Masikini wa mali akipata taaabu sana,sasa hiki kidege ndicho cha kukushughulisha kuanzisha uzi? hapa kwenye zana vita msisubutu kabisa,muongeze na mengine halafu mtake pambano dogo tunawapiga nyie wakiume na wake zenu na mashoga tunabeba kwa ajili ya matumizi yetu.
 
Povu la nini sasa kijana. Jeshi la kenya ni so weak, ni goigoi. Limejaa wezi na walevi.
Tena mwambie kabisa wangeyapata yale ya kibiti wangeolewa askari wote.
 
Mnauziwa mandege ya mtumba, ambayo yameshatumika tangu 2006 (12yrs old aircrafts), now as Italian Air force clean its warehouse, Kenya wamepata kivuno. To keep your reputation high, you should have kept silent and hide your poverty to yourselves.

 
Wakati watani wetu wanacheza ligi ya bombardier sisi tunacheza ligi ya C-27J spartan! haya kuleni kwa macho...

Na mmebambikwa bei kweli kweli. Mtandao unaonesha kuwa unit cost is USD 32M, kwa ndege moja. Kwa ndege tatu it means ingekuwa 96M. But you are now buying them for more than twice the price. Are you guys bewitched?

Alenia C-27J Spartan - Wikipedia
 
You dont know what you are talking about
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…