Tukianza watalia😂😂😂Huduma inayotolewa na Kenya Airways DAR-NBO ni mbaya mno mpaka abiria wameomba Air Tanzania kuanzisha safari za DAR-NBO
Dar es Salaam-bound KQ passengers stranded at JKIA, mechanical
I think kwa hii route ya DAR-NBO tunaweza. Via Kilimanjaro International.Air Tanzania ni yetu ila haiwezi shindana na KQ
Kwa Mara ya kwanza umeongea bila bias.Mara zote nimesafiri na KQ sijawahi pata mashida na hao Jamaa, huenda ni incident ya siku moja au mbili, hata hivyo
Bado huwezi fananisha na ufala wa Precision..
Otherwise wajitahidi maana atcl tunasubiri tu Airbuss (C300) tushike hiyo njia na Nauli itakuwa ni Nusu ya KQ... via KIA na Z’bar
Leo naona umeongea 🤔🤔 senseMara zote nimesafiri na KQ sijawahi pata mashida na hao Jamaa, huenda ni incident ya siku moja au mbili, hata hivyo
Bado huwezi fananisha na ufala wa Precision..
Otherwise wajitahidi maana atcl tunasubiri tu Airbuss (C300) tushike hiyo njia na Nauli itakuwa ni Nusu ya KQ... via KIA na Z’bar