Kenya Airways applies for direct flights to JFK Airport in US starting May

2018 Sisi tutakuwa tunatua LAx na JFK,fanyeni utaratibu wa code sharing na sisi ili tuwaboost
 
Safari za humu humu ndani wamechemsha. Huko wanapoelekea wataliua kabisa hili shirika.
 
Reactions: SDG
Digisuper lens camera...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€my oh my! i remember that argument..these guys are so shallow...ichoboy and most tanzanians here need psychiatric help...
 
They think earning that status is a walk in the park, tuko hapa tukiwaangalia tu

Kweli Mkuu, tunawasubiri hapa hapa kuona kama KQ mtaweza kukitekeleza kwa vitendo katika muda mnaousema. Vigezo ni hivi vinatakiwa kuzingatiwa kwa wakati wote bila upungufu : USA Safety na kimataifa Safety
 
Reactions: SDG
Boss am kenyan and an aviation enthusiasts, ni hawa watanzania wanasema watapata CLASS A status next year nashangaa, it has taken us alot of years
 
Boss kua mpole manze, umenichoma.manze
 
Boss am kenyan and an aviation enthusiasts, ni hawa watanzania wanasema watapata CLASS A status next year nashangaa, it has taken us alot of years
oh!! we are both Kenyans... then I will withdraw my statement...my bad!
 
Reactions: SDG
Hongereni sana wakenya lakini isiwe sababu ya kutunanga watanzania,kila nchi inapiga hatua za maendeleo kwa speed yake hatuwezi fanana kamwe.
 
Kenya's main trading partners ni Europe na Far East but sasa direct flight to USA itaopen up USA market....
Tourists wengi pia East Africa ni kutoka Europe but from now onwards tutapata ongezeko la watalii kutoka USA hii itakua faida kwa nchi zote za East Africa wala si Africa pekee
 
Kweli Mkuu, tunawasubiri hapa hapa kuona kama KQ mtaweza kukitekeleza kwa vitendo katika muda mnaousema. Vigezo ni hivi vinatakiwa kuzingatiwa kwa wakati wote bila upungufu : USA Safety na kimataifa Safety
KQ has safety records surpassing even some airlines plying the US routes. The reason it has the rights to fly into the European airspace, and was recently granted that right into the US.
 
KQ has safety records surpassing even some airlines plying the US routes. The reason it has the rights to fly into the European airspace, and was recently granted that right into the US.
I dont think kuna mtanzania akona rating ya 787 unless wanatrain saii
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…