Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Musitutishe
Hahaaa...Musitutishe
Tihihi...Panya aliyenyeshewa atishwe etiMusitutishe
Nyie hata tulivyo tunawatisha. Hatuitaji kudouble ndio tuwatishe. 😅😅Musitutishe
Yani mimi hata sielewi sisi watanzania. Eti ndege kama ile inasafirisha nyama halafu sisi tunchekelea. Kama tunataka safirisha mizigo si tununue cargo plane!!!!Nyie endeleeni kusafirisha nyama...
Kuna kitu inabid uelewe ..Dreamliner ina uwezo wa kubeba mizigo ya Tan 42 ...sasa kama kutakuwa na mizgo less than that inaweza ikabeba tu ..tatizo sisi Tz kila kitu huenda kwenye mediaYani mimi hata sielewi sisi watanzania. Eti ndege kama ile inasafirisha nyama halafu sisi tunchekelea. Kama tunataka safirisha mizigo si tununue cargo plane!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mizigo kama nyama na vwakula vyengine kama hivyo huhitaji contena spesheli za ili hizo nyama zibaki baridi, hizo contena hua zinahitaji "power supply" ambapo ndege za kawaida hazina vifaa kama hivyo, unahitaji dedicated au customised cargo hanger .... I hope humo ndani ya dreamliner yenu mumefanya hiyo custoomisation au sivyo baada ya miezi kadhaa cccargo hanger itakua inanuka nyama!!!Kuna kitu inabid uelewe ..Dreamliner ina uwezo wa kubeba mizigo ya Tan 42 ...sasa kama kutakuwa na mizgo less than that inaweza ikabeba tu ..tatizo sisi Tz kila kitu huenda kwenye media
.mizigo mizito sana ndo huitaji cargo plane...ila kama mzgo unatosha kwenye dreamliner kwann usibebwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa ..man...ila kama ulicheki hio video ..mizigo ilikuwa kwenye container maalumu ..sina link ...ATC inahitaji Cargo walau moja ...Kulikuwa na mpango wa ku convert q300 moja iwe cargo na kununua cargo planeMizigo kama nyama na vwakula vyengine kama hivyo huhitaji contena spesheli za ili hizo nyama zibaki baridi, hizo contena hua zinahitaji "power supply" ambapo ndege za kawaida hazina vifaa kama hivyo, unahitaji dedicated au customised cargo hanger .... I hope humo ndani ya dreamliner yenu mumefanya hiyo custoomisation au sivyo baada ya miezi kadhaa cccargo hanger itakua inanuka nyama!!!
Kenya Airways hua mizigo ya "non-perishable" na pia mizigo ambayo si ya "human consumption" ndo hua inabebwa kwa cargo hanger bay ya ndege ya abiria
Lakini mizigo kama nyama zinazopelekwa sana sana kule uarabuni hubebwa na dedicated freighter
bado tutazidisha uzito kwa uroho wa hela mwishowe ndege itaanguka itakufa.Yani mimi hata sielewi sisi watanzania. Eti ndege kama ile inasafirisha nyama halafu sisi tunchekelea. Kama tunataka safirisha mizigo si tununue cargo plane!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatishiwa na hizo ndege zenu mbili??? Tunaweza wagawia zetu ishirini na bado tubaki na nyingi kuwaliko. Tuliza mk#nd#Musitutishe
Eti drimulaina inabeba nyama? [emoji15] Hii movie iliandikwa na ma'otero'. Dah! C.c Nalendwa, hawa ndio mastaa wanaostahili kuigiza kwenye Bongo movie.
There is power in prayer, for real. 😎 But seriously this stuff is innovative.Jirani acha tu. Guess we're building our own Dar-llywood. We'll soon be having Nyama-Choma Festival on air...lolAm praying our beloved Dreamliner-Bombadier-Panasonic aeroplane, is not another mission impossible by Thomas "Jiwe" Kurunzi..