Kenya Airways Dreamliner no.3 imetua Kenya

Kenya Airways Dreamliner no.3 imetua Kenya

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
main.jpg

main.jpg

main.jpg

KENYA AIRWAYS UJENZI WA SOKO LA AFRICA NA KIMATAIFA
 
We ni mtz, acha wivu uchumi mmeukalia lakini hata Boing moja ya atc hamna bora kenya wajitangaze labda nasi watz twaweza pata harufu ya waridi. Atc wanatumia ndege aina ya atr ni aibu kubwa kw nchi kubwa kama tz. Usinune fanya kazi nawe upate hata Concord.
 
hivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!

Lazima we ni mtz, wivu tu jazi hamfanyi
 
kwani lazima kuwa na national/flag carrier? maisha si lazima hiyo sisi tumejikita kwenye vitu vingine mkuu. Pia, nielewe nilichosema Kenya wamezidi kujitamba mbona wakina ETHIOPIAN, SOUTH AFRICA AIRWAYS, EGYPT AIR, AIR ALGERIE hawajitambi kama wao na wana ndege za maana na destinations nyingi zaidi yao? kwa taarifa yako tu KENYA AIRWAYS ni ya 6 kwenye African Best Airlines baada ya 1. SAA 2.Air Seychelles 3. Air Mauritius 4. Kulula (ya South Africa) 5. Ethiopian kisha Kenya Airways. Kwa hiyo usijitie unyonge ukiona KQ. Asante
a
 
wivu tu.....si hapa JF utayasikia maut mtu amejinyoka akiyafuata ya kenya.subiri........aidha siyaombi hayo mbali afungue macho ajua image is everrything, badala ya lawama tangaza hayo ya tz, kama hutaki keep mum forever.
The 5 Best Airlines in Africa

April 23, 2013 by Lee Abbamonte 39 Comments
The 5 best airlines in Africa can be as contentious a topic as airlines in Africa in general. Some people are afraid to fly airlines in Africa period. That is obviously because of their own ignorance and fear but not all the fears are self conjured. Many African airlines do not have good safety records and many are not sanctioned to fly anywhere outside of Africa or even their own country. However, there are some airlines that have pretty good International reputations and several have even become full members of global airline alliances.
Now keep in mind, I write this as someone who has flown dozens and dozens of African airlines (good, bad and awful) and has traveled to every country in Africa. These are the 5 best airlines in Africa.
1. South African Airways
saa.jpg

South African Airways is the clear number one airline on the African continent. It is the shining star that brings Africa to the world. South African has direct flights to five other continents and a great hub at Johannesburg Airport. South African is Africa's world-class airline and you should expect what you'd expect from any world-class airline.
South_African_Airlines_Special_Flight_Offers.jpg

South African Airways is a full member of the Star Alliance and has direct flights from New York, London, Dubai, Sydney, Sao Paolo and Beijing. This is what keeps the South African economy going-the accessibility of the world. The only drawback with South African Airways is it is far from just about everywhere. But the same can be said for Australia and they seem to manage pretty well!
2. Egypt Air
images.jpeg

Egypt Air has transformed itself over the past 10 years unlike any airline in the world in my view. After a terrible crash in early 2004, Egypt Air has rebounded to become a global player in Africa and the Middle East. They have improved their planes, routes and they have even become a full member of the Star Alliance. I have flown them several times over the past few years via their Cairo hub and they have always been pretty good.
egypt-air_1.jpg

Their lounges are OK and to me the biggest drawback is the fact that you always have to take a bus from the airport in Cairo to the plane. They never park at the gate and I hate that. On a connection, you have to do it twice but Egypt Air often has very cheap fares so you make due. Just as Egypt Air has done in improving themselves.
3. Ethiopian Airlines
Ethiopian-Airlines-Logo.jpg

Ethiopian Airlines is secretly one of my favorite airlines. Not because they are so great but because of where they are located. I love Ethiopia and their hub city of Addis Ababa and have flown there and through many times. Ethiopian Airlines itself is very good for African standards but not quite up to par with South African or even Egypt Air but is 100% in the 5 best airlines in Africa.
ethiopian_airlines_072108.jpg

Ethiopian Airlines, a full Star Alliance member, has a great route map within Africa and the Middle East. They even have a direct flight from Addis Ababa to Washington DC and London. That said, there are often very good deals around Africa and the Middle East if you go through Addis so keep an eye out. Just remember the planes aren't that great as many are old and not well kept. However, the service is pretty good and they'll get you to some places many airlines can't take you.
4. Kenya Airways
2606447_orig.png

Kenya Airways is a good airline for Africa. It is the flagship carrier of the nation of Kenya and has its hub in Nairobi. It has become a full member of Sky Team and is the only African airline with this distinction. The planes are not bad and many are quite new.
kenya_airways.jpg

But again, Kenya Airways definitely belongs in the 5 best airlines in Africa.
5. Royal Air Maroc
Logo-Royal_Air_Maroc.gif

Royal Air Maroc barely made this list as the fifth airline. In my view, the top 4 are easy to pick but the fifth best airline in Africa is basically a toss up between a bunch of OK airlines. To me, Royal Air Maroc edged out Air Mauritius, Tunisair and Air Algerie because of its connections to Europe and the US.
Royal-Air-Maroc.jpg

Royal Air Maroc is good for domestic destinations within Morocco but the flight times are often in the middle of the night and you almost always have to connect through their hub in Casablanca and almost always for several hours. This is really annoying to me. Also, the customer service I've experienced with them is not very good, nor are their lounges. Royal Air Maroc or RAM may be in my top 5 airlines in Africa list but it's definitely not my favorite.
 
hivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!

Nafikiri kufurahia maendeleo yako, ikiwa ni pamoja na kujitangaza ni haki kwa yeyote yule na wewe inatakiwa umpe pongezi anayeonyesha juhudi za maendeleo, hiyo ndiyo kawaida ya waungwana.

Mimi kama mTZ naipongeza KQ kwa kuonyesha kwa vitendo kwamba inawezekana pale ATC inaposuasua. Pia mentality zetu zinaturudisha nyuma, tunapoonyesha kwamba hatujui biashara pale tunaposhindwa hata ku-support Precision Air kifedha au hata kimazingira, ambayo tumeweka kusaidia kuiuwa, kama kuruhusu kirahisi competion kutoka FastJet! Kwa mawazo yetu finyu ya kupigania fito tunasahau kwamba hii ni kampuni ya Tanzania, kama ambavyo michango hii hapa inaonyesha:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...01298-precision-air-mpaka-wanatia-huruma.html!

Sasa unajiuliza kwamba hizi chumi zetu zitajengwa na nani kama mentality zetu hazina mtazamo au hazithamini kujenga chetu? Usisahau pia kwamba siku PW itakapokufa (kuungana na ATC ambayo iko ICU) hizo bei za Fastjet mtazishangaa!

Hongera KQ!
 
Mtukwao hivi unaujua umiliki wa Kenya Airways upoje? kwa taarifa yako tu ROYAL DUTCH AIRLINE (KLM) wameweka mihela ya kutosha kwenye KQ na kiasi kilichobaki ndo serikali ya Kenya imeweka kiasi cha mboga. ETHIOPIAN AIRWAYS yenyewe ni 100% inamilikiwa na FEDERAL DEMOCRATIC REPUBLIC OF ETHIOPIA. Kwa hiyo usishobokee sana KQ. Kama ni African Airlines naikubali sana ETHIOPIAN 1. Inamilikiwa 100% na serikali (japo wameongezewa mkopohivi karibuni na AfDB), 2. Wanaenda Destinations nyingi duniani 3. Wana ndege nyingi za kisasa 4. Bei poa ukilinganisha na KQ 5. Luggage allowance kubwa zaidi kuliko KQ.
 
Sawa. Lakini kila kampuni inaanza pahala na kuwa na umiliki wa kampuni za nje kwa lengo la kuongeza mtaji na management skills (KQ+KLM) au kupata mikopo kama ET ni maswala tu ya kibiashara. Kwamba KQ wameweza kuwavutia KLM kuwekeza ni ushahidi kwamba KQ inaonesha matumaini. Kweli ET inamilikiwa 100% locally lakini wao wameanza zamani, huenda baadaye KQ nayo ikamilikiwa 100% na Wakenya. Je, sisi tunalenga huko? Au tunafurahia vikampuni vyetu vinapoanza kusuasua?
 
educator2025 umenifumbua macho kumbe KLM ana umiliki pale KQ? duuh sasa mbona bado wanapata hasara? (KQ)? wakati bei zao zipo juu sana aisee, nataka kwenda ACCRA lakini bei ya KQ inafika 1200 USD (nauli ya kwenda India na kurudi watu watatu). Daaah Afrika Mokili Mogimba!!!! Hatareeeee.
 
Mnaongeza ndege mbona abiria hatupati nafuu ya bei? nyie KQ vp? mnambania Fastjet kuja Nairobi & Mombasa kwa nini? au mmeshasikia moto wake? maana abiria wa wa DAR - LUSAKA, DAR -HARARE na DAR -JOBURG kupitia NAIROBI hamuwapati tena eeeh!!! kaeni mkao wa kupigwa mazima kiama chenu chaja.
 
hivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!
Ghele hiyo. Nguo mpya lazima ivaliwe.
 
Hongereni Wakenya kwa mafanikio makubwa katika shirika lenu la Ndege, sie hatuna ndege hata moja na wala hakuna mpango wa kununua hata moja kesho au kesho kutwa. Mafisadi wanakomba utajiri wa nchi huku nchi ikibaki hohe hahe. Kule kwenye mabilioni ya Uswiss wameficha $329 million juzi juzi wamekwapua tena $122 million kupitia Escrow pesa hizi zingetosha kutupatia angalau Dreamliner moja.
 
hivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!

Na nyie mbona hamtangazi zile za airtanzania!
 
Sawa. Lakini kila kampuni inaanza pahala na kuwa na umiliki wa kampuni za nje kwa lengo la kuongeza mtaji na management skills (KQ+KLM) au kupata mikopo kama ET ni maswala tu ya kibiashara. Kwamba KQ wameweza kuwavutia KLM kuwekeza ni ushahidi kwamba KQ inaonesha matumaini. Kweli ET inamilikiwa 100% locally lakini wao wameanza zamani, huenda baadaye KQ nayo ikamilikiwa 100% na Wakenya. Je, sisi tunalenga huko? Au tunafurahia vikampuni vyetu vinapoanza kusuasua?
Ethiopian Airways wana agreement ya muda mrefu na kampuni ya Boeing tangu enzi za Emperor Haile Selasie. Kila toleo la ndege mpya za Boeing ET huwa wanazipata mapema kwa kuuziwa au kukopeshwa kwa concessenary prices na service agreement. Ndiyo sababu hata wakati wa enzi za Ukomunisti wa kina Mengitsu Haile Mariam ET halikutetereka. Lakini vile vile wamejenga uwezo mkubwa wa kimanejimenti kiasi kwamba hata wakati wa crisis kama baada ya September 11 Shirika liliweza kuhimili mdororo. Ni ushahidi kuwa ushauri tuliopewa na wazungu kuwa mashirika ya umma hayawezi kuwa na tija ni upuuzi mtupu. Inategemea. ATC wangefikiria kupeleka watu wao huko badala ya South Africa, Ulaya na Marekani.
 
Mtukwao hivi unaujua umiliki wa Kenya Airways upoje? kwa taarifa yako tu ROYAL DUTCH AIRLINE (KLM) wameweka mihela ya kutosha kwenye KQ na kiasi kilichobaki ndo serikali ya Kenya imeweka kiasi cha mboga. ETHIOPIAN AIRWAYS yenyewe ni 100% inamilikiwa na FEDERAL DEMOCRATIC REPUBLIC OF ETHIOPIA. Kwa hiyo usishobokee sana KQ. Kama ni African Airlines naikubali sana ETHIOPIAN 1. Inamilikiwa 100% na serikali (japo wameongezewa mkopohivi karibuni na AfDB), 2. Wanaenda Destinations nyingi duniani 3. Wana ndege nyingi za kisasa 4. Bei poa ukilinganisha na KQ 5. Luggage allowance kubwa zaidi kuliko KQ.

mbona watu wanaubea kiasi hiki. KQ IS OWNED MAJORITY BY KENYAN GOVT, KLM, halafu WANANCHI WA KENYA, TZ NA UGANDA.
PUBLIC/PRIVATE PARTNERSHIP PRODUCE THE BEST RESULTS. HIYO PESA YA GOVT ENTITIES KWA NCHI NYINGI INAKWISHIA MIFUKONI YA WATAWALA!!!!
Kenya Airways Ltd., more commonly known as Kenya Airways, is the flag carrier of Kenya.[SUP][3][/SUP] The company was founded in 1977, after the dissolution of East African Airways. The carrier's head office is located in Embakasi, Nairobi,[SUP][4][/SUP] with its hub at Jomo Kenyatta International Airport.[SUP][5][/SUP]
The airline was wholly owned by the Government of Kenya until April 1995, and it was privatised in 1996, becoming the first African flag carrier to successfully do so.[SUP][6][/SUP] Kenya Airways is currently a public-private partnership. The largest shareholder is the Government of Kenya (29.8.%), followed by KLM, which has a 26.73% stake in the company. The rest of the shares are held by private owners; shares are traded on the Nairobi Stock Exchange, the Dar es Salaam Stock Exchange, and the Uganda Securities Exchange.[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP]
Kenya Airways is widely considered as one of the leading Sub-Saharan operators;[SUP][8][/SUP] as of January 2013, the carrier was ranked fourth among the top ten ones that operate in Africa by seat capacity, behind South African Airways, Ethiopian Airlines and EgyptAir.[SUP][9][/SUP] The airline became a full member of SkyTeam in June 2010, and is also a member of the African Airlines Association since 1977.[SUP][10][/SUP][SUP][11][/SUP] As of June 2013, the company had 4,006 employees.
 
Back
Top Bottom