Picha za trein ziko wapi??? Evidence muhimu sana wakati wa kujadili such huge projects, otherwise itakuwa ni porojo tupu ama a white elephant... Actions speak louder than words.
Action sio picha, huku ni HAPA KAZI TU, hatuna maneno mengi na majigambo kama huko, ile airport inayojengwa pale Julius Nyerere International airpot ingekuwa ni huko kwenu sasa hivi humu JF pangechafuka kwa mapicha, lakini huku kwetu ni kimya tu japo umekamilika kwa 68%, to be the biggest and high tech airport in East and Central Africa
Picha za trein ziko wapi??? Evidence muhimu sana wakati wa kujadili such huge projects, otherwise itakuwa ni porojo tupu ama a white elephant... Actions speak louder than words.
Mbona unakimbilia kutafuta tooth pick kabla ya kuanza kula? Kumbuka ujenzi wa SGR na ununuzi wa treni unafanyika kwa contact tofauti sio moja. Tukikamilisha mpango wa rolling stock, utajionea mwenyewe.