Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
asante...Hongera sana majirani zetu...!
asante...
Shukran zikufikie jombaa, kutoka kwetu sisi manyang'au, na Nyang'au Airways pia.Kwahili tuwapongeze bila unafiki kabisa .Heko Nyang'aus[emoji23]
Kwani magari ya firefighters huko Kenya Air ports huwa hayana ving'ora? Au king'ora cha mzungu kina mlio tofauti labda blues au reggae?Duh hadi ving'ora, raha sana.....mpoooooo????
Sindano imeingia penyewe.Kwani magari ya firefighters huko Kenya Air ports huwa hayana ving'ora? Au king'ora cha mzungu kina mlio tofauti labda blues au reggae?
Next ni Sao Paulo na Toronto.
Kwani magari ya firefighters huko Kenya Air ports huwa hayana ving'ora? Au king'ora cha mzungu kina mlio tofauti labda blues au reggae?
This advert is nostalgic, I think I first heard it back in 1994 or 1996....oooh men! Am so proud of KENYA KQ to be specific.
Naona dege la kenya liko marekani lamwagiwa maji, sisi kazi kubeba ndoo za samaki toka mwanza. Hahahaha