Kitambo Marekani haikukubali KQ kuingia kwenye anga yake lakini sasa Wakenya kutumia KQ kuenda Marekani itakuwa kitu ya kawaida. Indeed this is good newsBusinessDaily Africa (@BD_Africa) on Twitter
Akina Geza Annael na wengine walisema Kenya Airways itaanguka. Sasa KQ itaanza kuenda U.S directly without making a connecting flight
This is a developing story. More to come.
BusinessDaily Africa (@BD_Africa) on Twitter
Akina Geza Annael na wengine walisema Kenya Airways itaanguka. Sasa KQ itaanza kuenda U.S directly without making a connecting flight
This is a developing story. More to come.
LATEST NEWS KENYAHuge step
Habari njema sana kwa Waafrika mashariki wote.. Pongezi nyingi kwenu majiraniBusinessDaily Africa (@BD_Africa) on Twitter
Akina Geza Annael na wengine walisema Kenya Airways itaanguka. Sasa KQ itaanza kuenda U.S directly without making a connecting flight
This is a developing story. More to come.
Kitambo Marekani haikukubali KQ kuingia kwenye anga yake lakini sasa Wakenya kutumia KQ kuenda Marekani itakuwa kitu ya kawaida. Indeed this is good news
Sasa kwa akili yako route ya US itarudisha KQ kwenye profit? Uache ujinga! How many US airlines will be plying the same route? And how long will it take before Rwandair n Air Tanzania fly the same route considering current expansions on jets n airport facilities?BusinessDaily Africa (@BD_Africa) on Twitter
Akina Geza Annael na wengine walisema Kenya Airways itaanguka. Sasa KQ itaanza kuenda U.S directly without making a connecting flight
This is a developing story. More to come.
Hahaha remember akina annael wakisema ati mpaka next year, sorry folks you jis got served againHehehehe!! Hadi raha, ndio hivyo aisei, wale mapunguani walikua wanaombea shirika la KQ lipige chini watapita kimya, sijui kama kale kandege kao kaliachiwa, cc: NairobiWalker
This nigga man, once mkipata hio status please let us knw, i dont think its even in your pipeline hamjakanyaga kenya mmeanza kuota US?Sasa kwa akili yako route ya US itarudisha KQ kwenye profit? Uache ujinga! How many US airlines will be plying the same route? And how long will it take before Rwandair n Air Tanzania fly the same route considering current expansions on jets n airport facilities?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna muarubaini wa kuliokoa KQ, shirika lina matatizo mengi sana tena matatizo ya msingi kabisa, hata lipate pesa nyingi kiasi gani si rahisi kutengemaa, Chris Kirubi alikiri kwamba alifanya kosa kuingiza pesa zake na hategemei kama shirika linaweza kujiendesha tena, kama lilishindwa kipindi kile biashara ya ndege inalipa vizuri, na katika ukanda huu wa EAC lilikua shirika pekee, je kipindi hiki ambacho kwanza biashara ya anga ni mbaya, na kila nchi katika EAC inajitutumua kununua ndege zake ambazo nyingi ni mpya, za kisasa zaidi ambazo hazitumii mafuta mengi na maintenance costs bado zipo chini sana kulinganisha na ndege nyingi za KQ ambazo nyingi zimeanza kuzeeka, mh...sijui ngoja tuone hiyo route ya USA, huenda ika game changer.Sasa kwa akili yako route ya US itarudisha KQ kwenye profit? Uache ujinga! How many US airlines will be plying the same route? And how long will it take before Rwandair n Air Tanzania fly the same route considering current expansions on jets n airport facilities?
Sent using Jamii Forums mobile app
One point in time you said Kenya and KQ will NEVER be given permission to fly to US directly... what happened???Sasa kwa akili yako route ya US itarudisha KQ kwenye profit? Uache ujinga! How many US airlines will be plying the same route? And how long will it take before Rwandair n Air Tanzania fly the same route considering current expansions on jets n airport facilities?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa akili yako route ya US itarudisha KQ kwenye profit? Uache ujinga! How many US airlines will be plying the same route? And how long will it take before Rwandair n Air Tanzania fly the same route considering current expansions on jets n airport facilities?
Sent using Jamii Forums mobile app