Kenya Airways granted permit for direct flight to U.S

hongera zenu. sisi mpk tuitoe ya kwetu iliyo dakwa huko Canada itakuwa 2020 na mpk tupate ya kuweza kwenda direct from Tz tu US ujue probably Mungu atakuwa kaingilia kati kwa kweli.
 
Hongera sana Kenya.

Love is all what we need!
 
great news kwa wasafiri we anga. while tanganyika wako busy kikimbizana na wapinzani endeleeni kumove
 
American tourists who want to come to tz or ug will have to stop at Nairobi, maybe even spend a night or two in Nairobi...lol! that is more business for our hotels...imagine tourist anaweza kuwa hatamani hata kuja Kenya ila kwa sababu ya hub status ya KQ, inambidi aje hapa kwanza kisha aendele na safari yake TZ ama UG...hahahahaha! tumewaweza hawa washenzi...
 
wacha kutapika povu kiasi hiki....wacha kuumwa na maendeleo ya Kenya sababu utakufa na pressure...sioni Kenya ikipunguza pace ya maendeleo kwa hiyo naku advice kama rafiki ama siku moja utapatwa na heart attack...
 
Kupewa kibali haimaanishi mmefanikiwa kumudu hiyo route mpya.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unataka kuona Kenya ikianguka lakini ng'o umekula hu na hasara juu. Kwanza yuko wapi yule rafikiyo Annael? Aje hapa ajionee maendeleo
 
Never seen kenyans that bitter na Tanzania kama Geza na Kadoda na Ichi. So much hate man
yeah Kenyans are always calm and cool bringing pics of development but come to Tanzanians, they want to bring pics of kibera and bad news from Kenya...lol! they are very bitter...[HASHTAG]#jealousy[/HASHTAG]
 
Wewe unataka kuona Kenya ikianguka lakini ng'o umekula hu na hasara juu. Kwanza yuko wapi yule rafikiyo Annael? Aje hapa ajionee maendeleo
hapa kina Annael wanapita kimya kimya na kuondoka...hapa hawawezi wakaongea...lol!
 
Geza Ulole nilipoingia JF nlikupata ukisema Kenya Airways itaanguka --that was 2010 huko ....you preached doom kila korna kama aviation expert mara kenya haitawai fly usa direct kuja sasa usome hii!!!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unataka kuona Kenya ikianguka lakini ng'o umekula hu na hasara juu. Kwanza yuko wapi yule rafikiyo Annael? Aje hapa ajionee maendeleo
Huu mse hawezi kosa hoja ya ku counter lol hata tupate 10bn$ profit leo utaskia amefufua stori nyingine mara "hyo pesa sasa itakusaidiaje mkenya wa Kawaida" ngojeni tuweke article ya KQ profit uone reaction ya Ulole

Sent using Jamii Forums mobile app
Get it? "Tuone reaction ya Ulole"

[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…