Wala hayauzwiHizi taarifa zikitokea kuwa kweli nitawaona ovyo sana viongozi wa Kenya, haya madude Wabongo waliyanunua kwa mihemko wapambane na hali yao huko huko hatutaki uchafu.
Huwa ninyi wote mnavuta bhange kama mtangulizi wenu.
Ndege ikitua tu uwanjani kwenu mmenunua. Ndio maana tukiwaruhusu wageni kupitia kwenu kuja Kilimanjaro mlimani mnadai mlima wenu
Huwa ninyi wote mnavuta bhange kama mtangulizi wenu.
Ndege ikitua tu uwanjani kwenu mmenunua. Ndio maana tukiwaruhusu wageni kupitia kwenu kuja Kilimanjaro mlimani mnadai mlima wenu
Nenda turkana huko Lofa weHizi taarifa zikitokea kuwa kweli nitawaona ovyo sana viongozi wa Kenya, haya madude Wabongo waliyanunua kwa mihemko wapambane na hali yao huko huko hatutaki uchafu.
Wapuz sanaHahahahahaha, ni nchi pekee duniani ambayo watu wake wanakufa njaa wakati ardhi inazalisha maua na chai isiyoweza kutoa pesa ya kutosha ya kununulia chakula ndio inaweza kuwa na mawazo kwamba tunaweza kuuza ndege ambayo hata Miezi minne haijafikisha.
1)Hata kukodisha kwa mwaka mmoja ndege ya kisasa kama hiyo, KQ haiwezi, bei ni kubwa Sana.
2)Hata siku tutakapofikia uamuzi wa kuuza hizi ndege, hatuwezi kuwauzia KQ, bora kuwakopesha Mauritious au South Africa, hao ni ndugu zetu tunasaidiana kuliko ninyi Nyang'au.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa Unaandikaga Pumba Sana,Hizi taarifa zikitokea kuwa kweli nitawaona ovyo sana viongozi wa Kenya, haya madude Wabongo waliyanunua kwa mihemko wapambane na hali yao huko huko hatutaki uchafu.
Unaota wewe, yaani sisi tunaongeza ndege zaidi wewe unaota utauziwa ndege na Tanzania? Zile max hamna pesa za kununua mpo brokeHizi taarifa zikitokea kuwa kweli nitawaona ovyo sana viongozi wa Kenya, haya madude Wabongo waliyanunua kwa mihemko wapambane na hali yao huko huko hatutaki uchafu.
We jamaa Unaandikaga Pumba Sana,
Unaelewa maana ya Mihemko ww ? Hiyo ndege Unaiita Uchafu wakati Uwezo wa Kuinunua Cash Km Sisi Huna,
Idiot
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlifaa mtulie na kuandaa mikakati ya jinsi gani mtaendesha shughuli ya biashara ya ndege, sio kukurupuka bila kuelewa wapi pa kuanzia na wapi pa kutokea.
Mtaishia kunawa ilikuja Kenya ktk maonesho na si vinginevyoHizi taarifa zikitokea kuwa kweli nitawaona ovyo sana viongozi wa Kenya, haya madude Wabongo waliyanunua kwa mihemko wapambane na hali yao huko huko hatutaki uchafu.
Amka usingizi, siku ingine utaota unakunya utachafua kitanda cha wazazi wako!