Kenya Airways imejikuta katika wakati ngumu mwaka 2017 kwa kuporomoka nafasi 6

Mwanzi1

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
6,000
Reaction score
4,589
Kutokana na mtandao SKYTRAX unaotoa viwango vya mashirika ya ndege 100 duniani, inaonekana Kenya Airways imejikuta katika wakati ngumu mwaka 2017 kwa kuporomoka nafasi 6 chini kutoka 85 mpaka 91.

2014 84/100
2015 86/100
2016 85/100
2017 91/100

Huu ni mtandao huru na hauna ushirikiano wowote na mashirika ya ndege. Habari kamili zama kwenye kiunganishi hapa chini.

The World's Top 100 Airlines in 2017
 
wanashika mkia hku wana deni la $ 2 bln! halafu wanajitamba humu ndani!
 
ATCL namba moja kutoka nyuma, oops hata haijatajwa, haifamiki, haijuikani, haijawahi kusikika, haina uhai wala pumzi......kwenye nchi inayo ongoza kwa vivutio vya utalii, yaani hamna laana mbaya kama ya uzembe na uvivu... ujamaa uliwalemaza kwa kweli, aliyewapa huo mfumo kawakosea hadi kuzimu.
 
Makofi kwa jambo jet, wameanza tu juzi na tiyari wako top 5.
 

Nilifikiri kuna airline yoyote ya LDC kwenye list.

On the contrary, Kenya has two airlines on the low-cost segment.

Fastjet - SA
Kulula - SA
Mango - SA
Jambojet - Kenya
Fly540 - Kenya

Also many airlines on that list have dropped not just Kenya. Even South African Airways dropped from 41 to 49.
Mpaka ile siku Tanzania mtakuwa na ndege zenu, mnafaa mkae nje ya mijadala ya airlines.
 
Kama kawaida regional competition ndio zenu, one day u will graduate to the global scene. Keep on dreaming.
Haha, you mean the way your struggling to keep your head above the global waters.
 
Haha, you mean the way your struggling to keep your head above the global waters.

There over 5000 airlines with ICAO codes. Na zingine mingi ndogo hazina.
For KQ to be in the top 100 means it's among the 2%. Or if you like, it is in the 98th percentile.
You should be ashamed of even starting this thread. Bongolala
 
There over 5000 airlines with ICAO codes. Na zingine mingi ndogo hazina.
For KQ to be in the top 100 means it's among the 2%. Or if you like, it is in the 98th percentile.
You should be ashamed of even starting this thread. Bongolala
One thigh you tried so hard to hide from your comment is that, KQ has dropped 6 places in space of 12 month.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…