Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
usisahau kuweka hapa faida na hasara ya ATCL baada ya kununua madege kwa cash.Lishirika linazidi kuporomoka huku jamaa wanajifanya kizungu kingii. Utopolo mtupu.
Hiyo ya ATCL weka wewe kamanda uchwara. Hapa ni kuhusu KQ, unaelewa?usisahau kuweka hapa faida na hasara ya ATCL baada ya kununua madege kwa cash.
Sasa si ufichue tu, unaficha halafu unalalamika nini?Hata air tamzania chupa lile lile sema sisi tunaficha taarifa na wakenya hawafichi
mataga umeshapanic 🤣Hiyo ya ATCL weka wewe kamanda uchwara. Hapa ni kuhusu KQ, unaelewa?
Kivipi?mataga umeshapanic 🤣