Kenya Airways (KQ) kupunguza wafanyakazi, kama mbinu ya kufufuka upya

Kenya Airways (KQ) kupunguza wafanyakazi, kama mbinu ya kufufuka upya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kila kitu kina faida na hasara, muhimu ni jinsi gani unaweza kuweka " balance" vizuri. Kupunguza wafanyakazi inaweza kuwa ni mbinu nzuri kwa shirika kutengeneza faida, ila upande mwengine ni kuongeza kundi la watu wasiokuwa na ajira, jambo linalozidi kuongeza mzigo kwa serikali, hasa ukizingatia kwamba KQ inarudi serikali 100%, jukumu la msingi la serikali ni kutengeneza ajira.

=====
Union objects as Kenya Airways plans to lay off staff in restructuring

1580290937369.png

Kenya’s national carrier Kenya Airways (KQ) plans to send home some of its workers as its nationalisation starts in the next few days.

The airline’s acting chief executive Allan Kilavuka in a memo to staff last week said the layoffs and restructuring “is part of Operation Pride turnaround programme”, KQ’s chosen route to profitability.

“Roles will change; some may be enriched while others are merged. I also want to be clear that as difficult as it is, some roles will disappear altogether, resulting in redundancies,” said Mr Kilavuka in the letter to employees, a copy which was seen by the Business Daily.

Mr Kilavuka has, however, pledged to make the planned redundancy humane “and will involve relevant stakeholders as required by the law.”

The planned retrenchment has sparked sharp reaction from the Kenya Aviation Workers Union (Kawu).

Kawu Union secretary-general Moss Ndiema in a letter to the airline says sending workers home will not address the “perennial financial malady currently facing the carrier.”

Instead, Mr Ndiema says, mismanagement and corruption at the airline ought to be addressed for a return to profitability.

He further argues that the airline is yet to notify the union of its intention to send home workers, adding that KQ must stop the exercise until the right procedure for layoff is arrived at.

“In view of the above, we urge you to put on hold the restructuring exercise, pending joint consultation between parties as envisaged by the law,” Mr Ndiema says in the January 28 letter.

The airline is planning to send home workers barely a month after it issued a profit warning for the year ending December, signalling its losses will widen beyond the Ksh7.56 billion ($75.6 million) the national carrier posted last year.

This will sink it deeper in the red. The airline is already nursing half-year losses that more than doubled to Ksh8.56 billion ($85.6 million), complicating the recovery prospects.

The airline last reported a profit in 2012 when it closed with net earnings of Ksh1.66 billion ($16.6 million). Its worst performance was in 2016 when it booked a Ksh26.2 billion ($262 million) loss. In 2017, it recorded a Ksh10.2 billion ($102 million) loss.

Source: The East African

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kushindwa kulipa Madeni yake yote kuifufua ATCL, shitika ambalo limekufa baada ya Ndege zake kushindwa kutua Nchi za ugenini kwa hofu kuwa zitakamatwa kufidia madeni wanaodaiwa Serikali ya Tanzania.
 
Tanzania ndege zenu bado zinakamatwa na wakulima na bado mnapiga makelele humu?
 
Tanzania ndege zenu bado zinakamatwa na wakulima na bado mnapiga makelele humu?
Hakuna uhusiano wowote kati ya deni la nchi na kushindwa kwa shirika la ndege kufanya biashara, ATCL kama shirika halina matatizo yoyote, wakati KQ ni failed company from failed state

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya deni la nchi na kushindwa kwa shirika la ndege kufanya biashara, ATCL kama shirika halina matatizo yoyote, wakati KQ ni failed company from failed state

Sent using Jamii Forums mobile app
KQ inaliwa na Mafisadi. Kila mtu anavuna. Mwishowe wanapandisha nauli wakati ET, Rwandair, Air Arabia wana nauli poa.
 
Zinafika Jo'burg?
Kwahiyo Jo'burg kwako ndio sehemu muhimu?, je kama hakuna abiria wa kutosha?. Sisi hatuendeshi biashara kwa kutafuta sifa kama ninyi, tukigundua route hailipi tunaachana nayo, tupo India, Zimbabwe, Zambia, Uganda, Burundi na mwezi ujao tunaingia China, wewe endelea kusubiri Jo'burg.

How profitable are these routes?.as far as I know ATCL is making losses yet imeanza operations juzi.
 
Kwahiyo Jo'burg kwako ndio sehemu muhimu?, je kama hakuna abiria wa kutosha?. Sisi hatuendeshi biashara kwa kutafuta sifa kama ninyi, tukigundua route hailipi tunaachana nayo, tupo India, Zimbabwe, Zambia, Uganda, Burundi na mwezi ujao tunaingia China, wewe endelea kusubiri Jo'burg.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo yenu itabidi iwabebe wanajeshi wenu ili at least ionekane iko kazini 😁
Si ulisema mlikomboa SA na kuwa wananchi was hizo Nchi mbili hutembeleana, vipi Sasa Ndege yenu moja inashindwa kufika huko Kama sio kuogopa Yule mkulima? 😂
 
How profitable are these routes?.as far as I know ATCL is making losses yet imeanza operations juzi .
Hahahaha, hatuna wala haturuhusu neno hasara katika shirika lolote la umma katika uongozi wa awamu ya tano, hasara ni huko kwenu, msituambukize magonjwa yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo yenu itabidi iwabebe wanajeshi wenu ili at least ionekane iko kazini [emoji16]
Si ulisema mlikomboa SA na kuwa wananchi was hizo Nchi mbili hutembeleana, vipi Sasa Ndege yenu moja inashindwa kufika huko Kama sio kuogopa Yule mkulima? [emoji23]
Acha ujuha, kwahiyo kama tumewakomboa basi lazima wasafiri hata kama hawana sababu za kusafiri?, ndege hazijanunuliwa kwa ajili ya SADC pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha
ATCL husafirisha hata wanajeshi, Yani hamna Ndege za military na uko hapa kupanua mdomo...low IQ.

Anglia YouTube utaona KDF walipofukuzwa South Sudan na Ban Kin Moon, walirudi kwa ndege zipi?. Ina maana KDF Hawana ndege zao?
 
Hahaha

Anglia YouTube utaona KDF walipofukuzwa South Sudan na Ban Kin Moon, walirudi kwa ndege zipi?. Ina maana KDF Hawana ndege zao?
Haya Basi week zenu hapa tuzione 😁 SI hata msaada Zimbabwe mlipeleka na ATCL
 
Ala! Mko na kamoja...najua haka kanafanyiwa service kila siku kasikwame hewani.
Eti kamoja, Yaani ndio maana tunawadharau kwa sababu hampendi kushirikisha ubongo wenu wakati wa kuchangia mada,
Hiyo hapo kwenye video ni JW 9035 Kuna ndugu yake JW 9034.
 
Back
Top Bottom