Kenya Airways Lands in New York - video

motonarudia tena: Tunawakaribisha waafrika mashariki wote wanaosafiri kule waje Nairobi, Kenya watumie KQ badala ya maconnection za middle east mara Europe....watalii wenu nao pia tutawabeba na kuwaleta mpaka mlangoni mwenuπŸ˜€πŸ˜€kisha tunawarudishaπŸ˜€πŸ˜€
 
Kama nawaona vile watu fulani Tz wanavyouma meno kwa hasira
 
Hii ni pigo kubwa sana kwa Ethiopian Airways by the way...wamekuwa wakibenefit sana kwa muda mrefu licha ya kuwa Ethiopia yenyewe hata haina vivutio vingi vya kitalii...Naomba EAC sasa tupunguze Ethiopian airways flights mara dufu ili tubenefit wenyewe kwa wenyewe...Ethiopia watakapoamua kujoin EAC basi tutawakaribisha ila sasa itabidi tuwaambie NO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…