Kenya: Ajali ya Basi linalomilikiwa na kampuni ya Western Express yaua watu 50

Kenya inabidi nao watathmini upya utaratibu wao wa mabasi kuanza safari usiku. Ni hatari kuliko kisingizio cha kupunguza jam mchana.


Wapumzike kwa Amani
 
KWA HILI TUNAUNGANA MAANA KUPOTEZA ROHO ZA WATU SIO JAMBO LA KUSHABIKIA HATA KAMA UNAAKILI ANGALAU KAMA MBEGU YA MCHICHA
Roho ni roho tuu, wakiwa Mia mbili, wakiwa arobaini wakiwa watano tunahesabu watu wamefariki. Maumivu Ni yaleyale. Wanastahili pole nyingi toka kwetu.
 
Ni wale wapendwa wetu wanaotuleteaga rambirambi Kila leo sasa na sisi tuoneshe upendo ule ule ! Tupeleke tulichonacho.
halafu juzi tu jamani ngoja tuone na sisi upendo wetu ulivyo
 
Yaani hii inanipa hasira eti kwamba waziri wa uchukuzi bado yupo ofisini, haya maigizo sasa wataanza kurushiana lawama halafu maisha yaendelee yale yale...Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…