Kenya: Almunusura mahututi wa COVID-19 azikwe hai

Kenya: Almunusura mahututi wa COVID-19 azikwe hai

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Mgonjwa wa COVID-19 aliyedhaniwa kafa aliviringwa kwenye PPE na taratibu zote za mazishi zikafanyika.

Ni wakati mwili uko kwenye jeneza tayari kwa maziko, wafiwa wakagundua jeneza linatetema.

Shughuli ya mazishi ikaahirishwa jeneza likafunguliwa na kukutwa marehemu bado anapumua.



Tazama video:


Jr[emoji769]
 
Si nafuu hiyo, kule China Mmoja alichomwa moto akiwa hai, anapiga kelele tayari moto umemuunguza vibaya kiasi kwamba hata wangemuokoa asingechukua dakika 5 kuendelea kuishi na mbaya zaidi kulikuwa na maiti nyingi za Covid zikisubiri kuchomwa.

Hapo ndipo utaona kuzika ni bora zaidi kuliko kuchoma.

Mungu wetu uliyemtukufu utunusuru.
 
Marehemu anapumua[emoji4][emoji4][emoji4] wakenya ni watu wabaya sana. Wanatafuta kubalance hesabu za mabeberu. Uhuru akitoka hapo wakafanya kama mali, usishangae kusikia barakoa moja ilinunuliwa kwa dola za kimarekani 10000 au zaidi
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom