Hiyo ya Lamu port huwa inamumaliza sana by the way, i noticed that.joto la jiwe huumia Sana akisikia na kuona picha za Lamu Port Tena kwa Sasa vile Bagamoyo Port imekuwa cancelled...kijana anasikia kuinyo ga Kenya, anaomba Al shababe wafanye kweli pale Lamu ndoto lake litimie.
Ninasubiri evidence, au kiri kwamba Alshabab walishambulia na kurudi Somalia.Nakuja na evidence sasa hivi.
Kwa hivyo hujaona hii niliyokuwekea hapo juu? Wacha niweke tena, sitachoka.Ninasubiri evidence, au kiri kwamba Alshabab walishambulia na kurudi Somalia.
Tony254, I am sure you are better than this. This can only be done by people with low IQ like those whom I try to avoid them, this killing took place some weeks later after the attacks as the result of operations as it was directed by Uhuru Kenyatta, but after the attack, they managed to escape, after all these are suspected to be part of that attack, nor one is sure because they were not killed during the attack at Garisa university, and they are all dead, they were not interrogated to confess.Kwa hivyo hujaona hii niliyokuwekea hapo juu? Wacha niweke tena, sitachoka.
Garissa dead terrorists paraded for locals to identify
April 4, 2015 4:06 pm
By AGENCE FRANCE PRESSE,
- 0SHARES
- 0
- 0
- 0
Some threw stones at the bodies as they passed, others jeered and shouted at the dead. Photo/CFM.NAIROBI, Kenya Apr 4 – Kenyan police on Saturday paraded the four bloated and naked bodies of what they said were the gunmen in a university massacre of almost 150 people, saying the grim display was held to see if anyone could identify the assailants.
Hundreds, including children, took to the streets to see the corpses, which were piled on top of each other face down in the back of a pick up truck, that drove down the main street in the northeastern town of Garissa.
ADVERTISEMENT
Some threw stones at the bodies as they passed, others jeered and shouted at the dead.
The pickup drove for almost half a kilometre (0.3 mile) from the hospital before stopping near a children’s playground, chased by young men. Hundreds more came to join the crowd despite the foul stench from the charred bodies, now swollen two days after they were killed.
“The intention was not a parade, but rather for public identification so that if anyone can recognise them whether they are a relative or someone who knows them,” local police chief Benjamin Ong’ombe said, adding the bodies were then returned to the hospital for storage.
“Too many people turned out, so we had to return them,” he added.
As well as the four gunmen killed, five men have also been arrested in connection with the university massacre by Somalia’s Al-Qaeda-linked Al Shabaab militants.
Thursday’s attack on Garissa University, situated near the border with Somalia, claimed 148 lives, including 142 students, three police officers and three soldiers.
Many in the crowds took photographs with their phones of the bodies, but many said they were disgusted at the parade.
“Bringing the bodies of the deceased, whether terrorist or others, and then running them naked in the streets, will only incite terrorists to act with more hatred in another attack,” said Abdi Hussein, a local elder. “It is against humanity to parade naked bodies.”
The massacre was Kenya’s deadliest attack since the 1998 bombing of the US embassy in Nairobi, and the bloodiest ever assault by the Al Shabaab militants.
“Driving around on the streets in broad daylight in a country which upholds human dignity is embarrassing,” said Ahmed Yusuf, a student at another local college.
“Instead of driving bodies around the streets now, the security forces should had pro-actively gone out to stop them from killing students,” he added.
Sh20 million bounty has been offered for alleged Al Shabaab commander Mohamed Mohamud, a former Kenyan teacher believed to now be in Somalia and said to be the mastermind behind the Garissa attack.
Wewe ni mjinga wa mwisho and that's why you always result to insults .only fools do thatTony254, I am sure you are better than this. This can only be done by people with low IQ like those whom I try to avoid them, this killing took place some weeks later after the attacks as the result of operations as it was directed by Uhuru Kenyatta, but after the attack, they managed to escape, after all these are suspected to be part of that attack, nor one is sure because they were not killed during the attack at Garisa university, and they are all dead, they were not interrogated to confess.
Ati no one is sure ?.....hahaaa mjinga wa mwisho . You are seriously a mental case.Tony254, I am sure you are better than this. This can only be done by people with low IQ like those whom I try to avoid them, this killing took place some weeks later after the attacks as the result of operations as it was directed by Uhuru Kenyatta, but after the attack, they managed to escape, after all these are suspected to be part of that attack, nor one is sure because they were not killed during the attack at Garisa university, and they are all dead, they were not interrogated to confess.
Ushabiki wa kijinga ni wewe ..hahaaAkili zako wewe ni kama akili za kuku, siwezi kuendeleza mjadala na wewe, Mimi ninajadiliana na Tony 254. Wewe tafuta watoto wenzako, kama unataka kujadiliana na Mimi jibu maswali
1) Thibitisha kwamba hiyo picha ni Kenya, na huyo ni mwanaheshi wa KDF
2) Thibitisha huyo aliyeuliwa ni M wanajeshi wa Alshabab aliuliwa katika shambulio la Garisa University
Acha kuleta ushabiki wa kijinga unatupitezea muda
Wewe ni mjinga wa mwisho and that's why you always result to insults .only fools do that
Ati waliuliwa a week later ?.hahahahaa
Garrisa attack happened on 2nd April and the whole operation lasted for more than 15 hrs Bodies of slain terrorist were displayed to the public at around midday 3rd April and the story was published on 4th April.
its caught.....ai watanzania jameniKenya is very weak when it comes to the security and protecting her boarders. This is why the illegal migrants Ethiopians are crossing kenya freely like oxygen molecules which give us a high time of aresting them. But in this issue you can't hear kenya has cought illegal immigrants. That is a big sign of corruption because some officials are reaping a lot for illegally hosting these people.
Poleni sana majirani zetu.
Ila pia pongezi kwa kuwa na bajeti kubwa ya ulinzi.
Lakini la msingi ni.... ukubwa wa bajeti ya ulinzi iendane sambamba na kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wa kenya walioko nchi nzima na si nairobi tu.
Ushabiki wa kijinga ni wewe ..hahaa
ati unaniambia nidhibitishe Kwamba hapo ni Kenya.
You can clearly see a Kenya police vehicle
View attachment 1129906
Polisi na jeshi la kenya ni mdebwedo
Wewe unajua wazi kwamba haukua uamuzi wa busara KDF kwenda Somalia, juzi tu ulisema kama sababu ilikua ni kuzuia Alshabab kuteka watalii, ni bora mngepeleka KDF ili kuimarisha doria katika mpaka wa Somalia wakati mmkiendelea kujenga ukuta.
Sasa ninakuuliza swali, gharama ya kuwalinda watalii wasitekwe na Alshabab ni uhai wa wakenya wanaouliwa kila siku?. Kabla ya KDF kwenda Somalia na baada ya KDF kwenda Somalia, ni kipindi kipi Kenya ilikua na amani?.
Jaribu kukaa chini na kujichunguza jinsi mnavyofikia maamuzi yenu, msijisikie vibaya kukubali pale mnaposhauriwa, kuendelea na ukaidi kudhani kwamba hamkosei, ni kuendelea kulimbikiza ujinga.
Gari walilokuwa wamepanda polisi kabla ya kushambuliwa na watu wasiofahamika juzi likiwa katika Kituo cha Polisi Bungu jana. Picha na Said Khamis
Gari walilokuwa wamepanda polisi kabla ya kushambuliwa na watu wasiofahamika juzi likiwa katika Kituo cha Polisi Bungu jana. Picha na Said Khamis
Gari walilokuwa wamepanda polisi kabla ya kushambuliwa na watu wasiofahamika juzi likiwa katika Kituo cha Polisi Bungu jana. Picha na Said KhamisUshabiki wa kijinga ni wewe ..hahaa
ati unaniambia nidhibitishe Kwamba hapo ni Kenya.
You can clearly see a Kenya police vehicle
View attachment 1129906
Gari walilokuwa wamepanda polisi kabla ya kushambuliwa na watu wasiofahamika juzi likiwa katika Kituo cha Polisi Bungu jana. Picha na Said Khamisits caught.....ai watanzania jameni
Gari walilokuwa wamepanda polisi kabla ya kushambuliwa na watu wasiofahamika juzi likiwa katika Kituo cha Polisi Bungu jana. Picha na Said Khamis
insi mauaji ya kutisha ya polisi nane yalivyofanyikaWakenya waliuwawa kwenye hii Vita wanafika 700, wameua shabab hawazidi 10
insi mauaji ya kutisha ya polisi nane yalivyofanyikaNa hiyo ndio point wangelinda mpaka wao sio kwenda kuleta shobo kule wakati uwezo mdogo.. Haya majamaa yanaishi kwa denial duu
insi mauaji ya kutisha ya polisi nane yalivyofanyikaHata nyinyi hamngekuwa na amani Kama hatungeenda somalia .kumbuka alshabaab waliwahi kufanya mashambulizi hadi Kampala .tungewapatia muda kidogo wangepiga hodi pale Arusha ama Daresalaam.
Sisi tumekuwa kama buffer zone Kati yenu na somalia ,usisahau pia Kuna watanzania wengi walikuwa wamejiunga na alshabaab kipindi kile ambacho alshabaab ilikua na influence hata ya ku recruit foreign fighters.