Kenya: Amchinja mjomba wake na kumpelekea kichwa shangazi yake

Kenya: Amchinja mjomba wake na kumpelekea kichwa shangazi yake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Polisi wa Mwatate kaunti ya Taita Taveta wanamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kumkata kichwa mjomba wake

Kijana huyo wa miaka 20 ameripotiwa kumchinja mjomba Mei 27, wake na kupeleka kichwa kwa mke wa mjomba wake huyo, ambaye alikimbia baada ya kukiona

Sababu za kufanya tukio hilo hazijajulikana lakini majirani wanasema mtu huyo alikuwa anasema kuwa ataua mtu katika eneo hilo

====
Police officers in Mwatate, Taita Taveta County, are holding a man who allegedly killed his uncle by chopping off his head.

The 20-year-old man reportedly beheaded his uncle and took the head to his aunt, the deceased’s wife, who then fled upon seeing it.

The suspect committed the heinous act, whose motive still remains unclear, on the night of May 27, 2020 at Mrughua area.

Neighbours who spoke to Citizen Digital however said the suspect has, in the recent past, been threatening to kill someone in the area.

The body of the deceased was taken to the Moi Teaching and Referral Hospital mortuary pending post-mortem as investigations into the incident continue.

Chanzo: Citizen Tv
 
Tatizo ni malezi, hayana ubinadamu.

Watu wamejifanya kushusha mishahara yao kwa muda huku wakijua wanapokea Billion US dollars za corona saizi ni mwendo wa kuaminisha matumizi na kunadaa nyaraka za matumizi.

Mpakani na Uganda pamewaka, Rift valley kumewaka Kalenjin na maasai

Mombasa ni maandamano yaockdown

Yaani linchi limekuwa hovyo ovyo tu
 
Ukiwa mwana CCM ni sawa na umekatwa kichwa Sasa ukikatwa Tena unakuwa umekatwa kichwa Mara mbili Mungu wahurumie CCM.
 
Back
Top Bottom