Kenya and Ethiopia commit to full implementation of lapset

mmmmh hahah corruption na legal immigrants tuna deal nayo sai mbaya kwanza hao Tanzanians omba omba wamejaa Tao, tunawatoa wote wapeleke umaskini wote Tz pia wacongo,nigerians na rwandans pelekeni umaskini kwenu kazi ni kuuza jungu nairobi
Are you guys okay!! mnaanzaje msg na miguno "mmmmh"!!! Bila shaka mtakuwa mpo Mombasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just like the Oldy ugly SGR, That Lamu port is another huge White Elephant,
Mark my words and write in your notebooks.

Nenda chekechea wewe....The Fat white Elephant we all know is Bagamoyo Port.Mark my words Bagamoyo will not happen even in 100 years
 
Nenda chekechea wewe....The Fat white Elephant we all know is Bagamoyo Port.Mark my words Bagamoyo will not happen even in 100 years

Thats why we shelved the plan,
But kenyans are so stupid, that place Lamu don’t have even paved roads, watu husafiri kwa Punda, hizo cargo zinasafirije to there unknown destinations??
 
LAPPSET sio bandari ya Lamu tu, ni mradi wa kuunganisha kaskazini ya Kenya na nchi za Ethiopia na pia S.Sudan. Barabara zilizojengwa na zinazoendelea kujengwa, ambazo ni zaidi ya kilomita elfu, tayari zimeunganisha boda ya Moyale(ET) na Lamu. Lamu-Garrisa-Marsabit-Isiolo-Moyale. Ulizia utaambiwa cheki hizo highway mpya za ajab.
Who Advised Kenyans to allow Chinese to build port in that wilderness?
Thats why we shelved the plan,
But kenyans are so stupid, that place Lamu don’t have even paved roads, watu husafiri kwa Punda, hizo cargo zinasafirije to there unknown destinations??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…