Kenya and Tanzania in group C

Wewe! Ni mapema sana, alafu hiyo group ni hatari. Ila tukubaliane kwamba kwa bahati mbaya Kenya tukitimuliwa mapema watakaobaki kati ya Tz na Ug lazima tutawapa support. Afrika mashariki round hii tupo ndaniii.
Inabidi hapo tuishangaze dunia, Kenya na Tz tuchomoze tuwa ache akina Mane na Mahrez mdomo wazi. BTW mane wa Senegal siyo yule wa liver huku anakuaga mchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe! Ni mapema sana, alafu hiyo Group C ni hatari. Ila tukubaliane kwamba kwa bahati mbaya Kenya tukitimuliwa mapema watakaobaki kati ya Tz na Ug lazima tutawapa support. Afrika mashariki round hii tupo ndaniii.
Yea my support for the tournament is as follows:
1)Kenya
2)Tanzania
3)Uganda
4)Burundi
5)The rest.....

So whenever an EA team is playing, they will be having my full support.
 
Naomba Kenya tukutane nao kwenye mechi ya mwisho ndo tunaaga mashindano kumamaqe tutaua mtu uwanjani
 
Hata Uganda pia wanaezapenya, lakini Kenya na Tanzania wako vibaya kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kapangwa na mwenyeji, mtu mwenyewe Egypt! Hapo tayari ameshapigwa. Mechi yake yakutoka ni zidi ya DR Congo akimpiga huyo, Zim hato msumbua. Uzuri kuna best loosers wanne, hapo ndiyo chance yetu sisi tunao unga unga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yea my support for the tournament is as follows:
1)Kenya
2)Tanzania
3)Uganda
4)Burundi
5)The rest.....

So whenever an EA team is playing, they will be having my full support.
Ni hivi..hizi point tatu kwa majirani vibonde hawa wa kaskazini ni lazima pia tutadraw na Senegal safari iendelee, ujirani michuano ikiisha[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi hapo tuishangaze dunia, Kenya na Tz tuchomoze tuwa ache akina Mane na Mahrez mdomo wazi. BTW mane wa Senegal siyo yule wa liver huku anakuaga mchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! 😀 Eti siyo yule wa Liverpool? Naona ni kama unani'enjoy' ila kwasababu uwanja ninaoupenda zaidi ni ule wa raga na sio soka sitabisha.
 
Hahaha! 😀 Eti siyo yule wa Liverpool? Naona ni kama unani'enjoy' ila kwasababu uwanja ninaoupenda zaidi ni ule wa raga na sio soka sitabisha.
Mchezo wa ma boyz.. hiyo game Kenya na Ug imeshamiri sana mashuleni ila Tz ni kama haipo kabisa. Wajaluo wana kuanga fit sana hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezo wa ma boyz.. hiyo game Kenya na Ug imeshamiri sana mashuleni ila Tz ni kama haipo kabisa. Wajaluo wana kuanga fit sana hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, kuna ile Elgon Cup kila mwaka, kati ya Kenya na Ug kule mipakani. Hiyo kitu huwa moto fire! Alafu huwa hamna vurugu wala nini nje ya uwanja. Nikuburudika na michuano tu ukitumia kile ambacho kinakupendeza, na madem wakarimu wakiganda kwa wingiii. Siunawajua tu. Haa! [emoji1]
 
Hahaha... manyabo, wale wana roho nzuri sana, kuna story ningekupa ila sitaki Janerose aisome nitamu umiza kwa wivu [emoji2] [emoji41].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…