Kenya and Uganda agree to simultaneously build Naivasha-Kampala SGR Project.

nyangau mkenya

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,056
Reaction score
1,296
toka naivasha hadi kampala kwa sasa

kenyan transport cs and Ugandan counterpart Min. of Works & Transport, Monica Aruba during signing of joint communique affirming SGR connection to Malaba.



 
Taarifa hii ni msumari moto kwenye donda ndugu la Wale hohoho!
Namba ni kusoma kwa mataa........
 
Come to papa, it's a good idea to sync our timelines....

Anyway hapa maagizo jinsi ya kununua tiketi
 
Huku Tz ni kukimbizana na tu na opposition side na kuandamana kumpongeza mkuu sijui amefanya nin cha maana
 
Na mbona siwaoni akina wale humu? Wanapita kimya kimya tu?
 
Msiseme nina wivu EAC is big for all of us, lakini .....Memorandum Of Understanding is not legally binding contract. Any one can have change of heart at any time. Hivi pipeline ya Kenya na Uganda haikuwa na MOU? Nauliza tu.
 
wako wapi kina geza ? kupita kimya kimya hapa najua...nawaelewa lakiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
yaani mpaka wanapingana wenyewe kwa wenyewe...hahahah...wacheni matusi....heri mngepita kimya kimya kama akina wale..
 
Swali la mwanzi1 hapo juu mbona hamlijibu badala yake mnauliza eti tuko wapi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hongereji Mr middle income but tz stgr IPO mbioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…