Unachosema ni sahihi ndugu yangu, ila tu ujue kuwa watu wanaovuta bangi ni wengi sana siku hizi, na stress zao wanakuja kuzimalizia hapa JF, hapa JF huwezi kuleta hoja ikapita bila kupingwa, hata iwe nzuri kiasi gani, kwa mfano anzisha uzi wenye kichwa cha habari '' Nauza gari" majibu utakayo pata hutaamini. Nakushauri usipasue kichwa na comments za JF na wala hazitoki kwa watanzania, bali ni kwa kikundi kidogo cha wahuni ambao huko kwenu munawaita chokoraa