Kenya Army VS Tanzania Army

Ha ha ha haaa
😂🤣😁
Sijapata kuona jeshi hovyo na week Kama KDF
JWTZ Ina parachute battalion ama mpaka wapande ATCL moja ili waweze kuruka kwa parachute afu Tena hata hizo parachute najua hamna hata mmoja na Kama zipo Weka ushahidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tga Mimi tafadhali
 
hakuna jesshi imara linaloanzia kurupukurupu tu usijidanganye na usijipe ujinga wa kujipa middle finger...
majeshi yote unayoyaona yakitikisa dumia ni kwasababu wana uzoefu wa mapigano na vita hawakuanza 2000s kama ninyi....sasa endeleeni na ushamba wenu mtabakia hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah, kumbe KDF ilikuwepo kwenye vita dhidi ya wapugania uhuru wa Maumau!

Vv
 
Si hawafaham maana ya experience hawa!!!
Au hawajui kwann nchi km China na Japan zinatambulika kuwa nguli ktk vita?
Ni kwasababu ya uzoefu waliopata toka vita za nyuma.
 
Miaka michache sana iliyopita, Major General Mwakubolwa aliongoza wanajeshi wachache wa TPDF kule DRC kuwatimua M23 na Laurent Nkunda hadi walipohakikisha wanavuka mpaka kuingia Rwanda kwa mfadhili wao. Major Gen. Mwakibolwa, baada ya kutoka DRCmiaka minne iliyopita alipandishwa cheo na kuwa Mnadhimu Mkuu wa TPDF na amestaafu mwaka juzi .

Mwaka 2012/13, TPDF ilienda kuwafurusha walioipindua serikali ya Comoro ndani ya wiki moja. Mwaka 1977, TPDF walivuka bahari ya Hindi hadi Seychelles kumrejesha madarakani Rais Albert Renne aliyekuwa amepunduliwa.

Do you want us say more? TPDF ni habari nyingine, it is well disciplined, very tactical and very experienced army. UPDF imepigana hadi vita vya maguguni huko Mozambique tangu 1976 hadi miaka ya 1990, kumbuka kuwa TPDF walipigana na Idd Amin wa Uganda pia wakati wakiendelea kuwakabili RENAMO kule Msumbiji.

KDF wamepigana wapi? Pale Somalia, hadi leo wanakurupushana na Alshaabab, TPDF ingekuwa imeshamaliza kazi muda mrefu!

Vv
 
Si hawafaham maana ya experience hawa!!!
Au hawajui kwann nchi km China na Japan zinatambulika kuwa nguli ktk vita?
Ni kwasababu ya uzoefu waliopata toka vita za nyuma.
Vita gani?

Sasa hii ndo mnaita expirience?
 
Si kwanza ujiulize Kwanini US wamekuwa Afghanistan for more than 18yrs .
 
Soma post number 51, hao uliowanuukuu hawajui chochote ni tabular lasa tu, unapotoshwa.

Vv
Vita mlizo pigana zilikuwa conventional war.Vita dhidi ya magaidi Kama vile Taliban na Alshabaab ni Vita ya aina nyingine (assymetrical warfare ).
That's why US have been fighting war on terror for years without end.
 
Hayo Hayo n maandishi tu wakenya msijidanganye
 
We punguani nn?
Nn hiyo umeleta??

Tanzania has contributed uniformed UN peacekeepers in various parts of the world since 1995. It currently contributes peacekeepers in six UN missions in Africa and UNIFIL in Lebanon. Tanzania’s contributions are largely informed by its history of African liberation, conflict prevention and peace processes, especially in African countries. Regionally, Tanzania has shown willingness to participate and contribute both in terms of security and military cooperation. Under the African Peace and Security Architecture (APSA), Tanzania is part of its African Standby Force’s (ASF). Specifically, Tanzania, falls under the Southern African Development Community ( SADC ) and in 2007 signed the agreement to become part of the SADC Standby Brigade .
In 2013, Tanzania was one of three states that contributed a battalion of soldiers to the Force Intervention Brigade (FIB) as part of the UN Mission in the Democratic Republic of Congo ( MONUSCO). The FIB was established in March 2013 following the signing of the
Framework Agreement for Peace, Security, and Cooperation for the DRC and the Region and UN Security Council Resolution 2098. It was one outcome of a larger debate about the need for more robust use of force by some UN peacekeeping missions. The Intervention Brigade subsequently helped in defeating the M23 rebels. The FIB also carried out successful operations against the Ugandan rebel group, the Allied Defense Forces (ADF) in 2014. The then Foreign Minister of Tanzania, Bernard Membe said his country’s contribution of a battalion of troops as well as the first FIB commander, Brig. Gen. James Mwakibolwa, was “to help our neighbors and be advocates for peace”. However, Tanzania’s contribution was seen as a geopolitical balance and a counter to the Rwandan government, which was accused of supporting the M23 rebel group. Bernard Membe had also directly accused the Rwandan government of funding the M23 rebels and stated that the M23 rebels were “Rwandan citizens .” Tanzania’s contribution to the FIB came at a time when President Jakaya Kikwete during an African Union Summit in Addis Ababa in May 2013, suggested that Rwanda should negotiate with the FDLR rebels in eastern DR Congo, a preposition which didn’t go well with Rwandan authorities.

Soma vema hapa.

Unaleta screenshot nusu nusu hazieleweki.
Vita gani?
View attachment 1245718
Sasa hii ndo mnaita expirience?
 
Kijana mgogoro wa Afghanistan na US hauujui na ule mgogoro hauishi leo wala kesho.
Taliban na US wana ugomvi mkubwa usiosimika.
Fatilia historia yao.
Vita ni vita kijana kaa uelewe.
Kwasababu hao waliompindua kiongozi Seychelles walikua wanajeshi na wao ikiwemo Comoros vile vile wanaelewa vita ni nn na wana silaha pia na wanajua kuzitumia kijeshi kwa mafunzo ya kijeshi.
Si kwanza ujiulize Kwanini US wamekuwa Afghanistan for more than 18yrs .
 
Hata Kenya wamekuwako Kwenye peace keeping missions what so special with that.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…