eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Huku ikiwa bado haijapona makovu ya baa la njaa lililotokea kule maeneo ya Turkana, janga jingine ambalo ni la aina yake tayari limeikaba Kenya katika maeneo ya Wajir. Inaelezwa ya kuwa ukame umewahi sana mwaka huu. Mvua ambazo zilitegemewa ziendelee mpaka mwezi wa sita, zilikatika mwezi wa tatu.
Poleni majirani kwa maadhira hayo. Tutasimama pamoja kuhakikisha nalo hili linapita.
www.dw.com
Poleni majirani kwa maadhira hayo. Tutasimama pamoja kuhakikisha nalo hili linapita.
Ukame watishia maisha ya wakazi wa Wajir, Kenya β DW β 16.07.2019
Hali mbaya ya kiangazi na ukame imelikumba jimbo la Wajir nchini Kenya kwa miezi mitatu iliyopita, huku wakazi wakiwa wanahofia maisha yao pamoja na ya mifugo yao. Mamlaka ya kudhibiti Ukame wameelezea kuwa hali huenda ikawa mbaya zaidi.