Kenya bhana, kumbe hata 3000MW za Umeme hakuna!

Inafahamika vizuri kwamba for the same qualifications and rank Kenyans are paid better than any east African country. Sasa unaposema 'vijana wengi tunakunja fedha nzuri kuliko majirani', usije ukawa umelinganisha daktari bongo na nesi wa kenya(mfano tu)
 
What are these "mianya" ya kuingiza hela? Business? Corrupt deals? Online jobs? Betting? Just what are they! Someone needs to come clean coz I have a feeling we are advocating for the same things that ail our society!! Lets Say a doctor at muhimbili tells a patient to see him in his private hospital for a minor surgery is that the kind of 'mianya' we are talking about? Cz I'll be disgusted.
 


Ulinganisho wako umejumuisha vigezo vyote au unaangalia namba tu? Unajua kwamba Kenya gharama ya maisha iko juu klk TZ? Vp inflation? Vp exchange rates? Umeangalia vyote hivyo?

Kwa mfano TZ unaweza kupanda dala dala kusafiri km zaidi ya 10 ukalipa labda 300 wkt Kenya unakwenda km 5 unalipa 1000, hkn nauli ya mtoto wala Mwanafunzi hii yote inaathiri take home yako, hivyo unapolinganisha ni lazima ujaribu kuwa mwangalifu kidogot!
 
Daktari wa Tz sio wote hupata salary sawa,mf kwa serikali junior huanza na tsh 1,480,000/- basic salary lakini kwa mashirika mengi kuanzia tsh 2M Nakuendelea kuna issue za overtime na mambo mengine vipi kuhusu kenya ...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have actually proved my point coz the lowest paid doctor in Kenya I believe was earning Tsh 2,700,000/- give or take.
Read my post, nilisema same qualification and rank.
Lets make it simpler, Starting with the president, Mps, judges, doctors(same rank and qualification), police(same rank) kenya wanalipa vizuri
 
Oooh i see...vp kuhusu bei ya vitu sasa twende taratibu mf petrol lita moja uko Ni sh ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh i see...vp kuhusu bei ya vitu sasa twende taratibu mf petrol lita moja uko Ni sh ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app


Hata nauli ya Daladala Kenya (Nairobi) ni zaidi ya mara 3 ya kwetu, na inaendana na umbali na muda, siku ya kwanza kufika Nairobi nilishangaa kuona maelfu ya watu wakitembea asubuhi na jioni kwenda kazini kwa maana hawawezi kulipa nauli!
 
Hata nauli ya Daladala Kenya (Nairobi) ni zaidi ya mara 3 ya kwetu, na inaendana na umbali na muda, siku ya kwanza kufika Nairobi nilishangaa kuona maelfu ya watu wakitembea asubuhi na jioni kwenda kazini kwa maana hawawezi kulipa nauli!
Ilikuaje nipe bei unaweza kisia bei bro chakula mgahawani, vinywaji kama soda,bia ,airtime na chupa ya maji ,bei ya nyumba za kuishi pia kulingana na ukubwa au eneo nyumba ilipo alafu tuangalie je ni nani ananafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata nauli ya Daladala Kenya (Nairobi) ni zaidi ya mara 3 ya kwetu, na inaendana na umbali na muda, siku ya kwanza kufika Nairobi nilishangaa kuona maelfu ya watu wakitembea asubuhi na jioni kwenda kazini kwa maana hawawezi kulipa nauli!
Ulijuaje wanaenda wapi na hawawezi kulipa nauli?
 
Okay,kuna hoja nying nimeuliza mmepita wins shida ni nn

Sent using Jamii Forums mobile app
I am too busy, driving back and forth, doing this and that....sijapata kupita kwenye mengi ya nyuzi humu, na hata hili nimechungulia tu few of the comments in the 1st and last pages.

Hoja gani hizo ndugu? Hebu yaulize zote hapa kwa mpigo. Pindi nitakapopata mda nitazishugulikia...
 
Niliuliza bei ya mahitaji ya kila siku mf chakula katika migahawa ya kawaida, vinywaji baridi na pombe za kawaida kama bia,petrol umeshajibu ni sawa na. huku tu,bei za nyumba zakupanga katika mitaa ya kawaida lakini sio mitaa yahovyo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 

Brother we are talking about power supply. That Kenya has only 2.3 gW for a population of more than 40mio ppl.
hivyo ukiangalia ratio of population to power you'll find that a big number of population has no access to power.
hilo ni janga kwa nchi nyingi za Afrika.
 
Good salary doesn't means your paid well than tanzania. What about food price, renting or own a hours, transport cost, water bill that u need. Compare with tanzania u are nothing but ending to paid bills.u Work for money to pay bills with little saving which means nothing, u have hunger, angry attitude, poor looking because of food. Which help u is milk, flowers and miraa(mirungi) labda baadae mkifanikiwa kukomboa white elephant project mlizozianzisha(sgr na crude oil)
 
Kenya hu-import umeme toka Uganda, Ethiopia. Zamani walikuwa wanatumia Umeme toka TZ hasa kwa Mombasa, TVT n.k
 
Good salary doesn't means your paid well than tanzania.
It means exactly that. Unless you want to reinvent the wheel!
Nimeangalia saivi nimeona baada ya mgomo, daktari anaelipwa hela ndogo saivi ni kwenye 6,500,000/- sasa compare na 1,500,00/- ya Tanzania. Hata tukisema gharama ya maisha Nairobi ni mara mbili ya Dar kama unavyo ashiria, bado anapigwa bao Mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…