Kenya: Biashara ya viungo vya binadamu ndio sababu ya mchungaji Paul Mackenzie kuzuga kufunga hadi kufa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.

Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.

Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU

USSR
20230425_150422.jpg
 
Hyo mironjo sasa

Bora wapasuliwa spika wana akili kuliko hawa wajinga wafuasi wa manabii
 
Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.

Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.

Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU

USSR View attachment 2599766
Kunantaarifa inadai kuwa hata hao waliookolewa wameendelea kugomea kula wakitaka kukutana na Yesu.

Hawa dawa yao ni kuwapa nusu kaputi kisha wanawekewa drip zenye lishe wakizinduka wajikute wodi ya wagonjwa wa akili ambapo hadi afya iwarejee watachukia kukaa humo na kuanza kukomply
 
Dah!... huyu jamaa ni mnyama na muuaji
 
Kunantaarifa inadai kuwa hata hao waliookolewa wameendelea kugomea kula wakitaka kukutana na Yesu.

Hawa dawa yao ni kuwapa nusu kaputi kisha wanawekewa drip zenye lishe wakizinduka wajikute wodi ya wagonjwa wa akili ambapo hadi afya iwarejee watachukia kukaa humo na kuanza kukomply
Hahahaha,dark ages

USSR
 
Jamaa wamekonda kama wale inmates waliokuwa wanakutwa kwenye concentration camps za Adolf Hitler zilizokuwa zinakombolewa moja baada ya nyingine
 
Jeshi la Polisi nchini Kenya limemkamata Mchungaji mashuhuri nchini humo, Ezekiel Ombok Odero wa kanisa la New Life Prayer Centre lililopo mtaa wa Mavueni mjini Kilifi kwa tuhuma za mauaji. Ofisi ya DCI imeeleza kuwa Pastor Ezekiel ametajwa kuhusika na vifo vya watu 98 vilivyotokea katika kanisa la Good News International Ministry la Mchungaji Paul Mackenzie.

Pia anatuhumiwa kwa vifo vingine vilivyotokea katika kanisa lake kwa kushawishi waumini wake kutorosha ndugu zao wagonjwa hospitalini na kwenda kuwaombea.

Katika tuhuma za kwanza, Pastor Ezekiel ametajwa kuwa mshirika wa Mchungaji Paul Mackenzie kwa kufanya mahubiri potofu ya kushawishi watu kufunga hadi kufa. Hapo jana mmoja wa wachungaji wasaidizi wa Ezekiel alisema kuwa Mchungaji Mackenzie alikua anafadhiliwa na Pastor Ezekiel na kwamba walikua na ushirika.

Akitoa maelezo yake mbele ya ofisi ya DCI, Mchungaji huyo ambaye polisi wamezuia kutaja jina lake, amesema Mchungaji Mackenzie alikua akilazimisha watu kufunga hadi kufa, na walipokufa Pastor Ezekiel alienda usiku wa manane kuchukua baadhi ya viungo vyao kabla ya kuzikwa usiku huohuo. Baadhi ya maiti zilizofukuliwa zimekutwa bila viungo kama sehemu za siri, ulimi, figo, ini, moyo etc.

Akaunti za benki za Mchungaji Mackenzie zimekutwa na ukwasi wa KSH Milioni 315, sawa na TZS Bilioni 5.5 ambazo ofisi ya DCI inashuku kwamba huenda zimetokana na biashara haramu ya viungo vya binadamu.!
 
Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.

Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.

Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU

USSR View attachment 2599766
Holocaust made in Kunyaland by Kikuyu mad man!
 
Mbona yeye huyo nabii kanenepa kama hajawahi funga hata siku moja
 
Kunantaarifa inadai kuwa hata hao waliookolewa wameendelea kugomea kula wakitaka kukutana na Yesu.

Hawa dawa yao ni kuwapa nusu kaputi kisha wanawekewa drip zenye lishe wakizinduka wajikute wodi ya wagonjwa wa akili ambapo hadi afya iwarejee watachukia kukaa humo na kuanza kukomply
Gharama yote ya nini? Choma sindano za sumu wote wawahi huko mbinguni.
 
Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.

Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.

Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU

USSR View attachment 2599766
Aisee,
 
Aisee Yani Kuna ujinga mwingine Sasa umepitiliza,Yani unaambiwa ufunge eti siku 40 bila kula ,Ili mradi ukifanikiwa utaonana na Yesu,hahahah kwanza hii kitu imeandikwa wapi...
 
Back
Top Bottom