Kunantaarifa inadai kuwa hata hao waliookolewa wameendelea kugomea kula wakitaka kukutana na Yesu.Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.
Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.
Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU
USSR View attachment 2599766
Hakika hilo halitatokeaBado Zumaridi. Siku sio nyingi na yeye ataikaanga misukule kadhaa!
Dah!... huyu jamaa ni mnyama na muuajiPolisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.
Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.
Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU
USSR View attachment 2599766
Hahahaha,dark agesKunantaarifa inadai kuwa hata hao waliookolewa wameendelea kugomea kula wakitaka kukutana na Yesu.
Hawa dawa yao ni kuwapa nusu kaputi kisha wanawekewa drip zenye lishe wakizinduka wajikute wodi ya wagonjwa wa akili ambapo hadi afya iwarejee watachukia kukaa humo na kuanza kukomply
Holocaust made in Kunyaland by Kikuyu mad man!Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.
Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.
Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU
USSR View attachment 2599766
Gharama yote ya nini? Choma sindano za sumu wote wawahi huko mbinguni.Kunantaarifa inadai kuwa hata hao waliookolewa wameendelea kugomea kula wakitaka kukutana na Yesu.
Hawa dawa yao ni kuwapa nusu kaputi kisha wanawekewa drip zenye lishe wakizinduka wajikute wodi ya wagonjwa wa akili ambapo hadi afya iwarejee watachukia kukaa humo na kuanza kukomply
Aisee,Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na biashara ya viungo vya binadamu.
Account za mchungaji Paul Mackenzie zikiwa zimeshiba pesa na pesa kufichwa nyumbani pia, mchungaji/mwonaji/nabii poul Mackenzie anatajwa kuwa na pesa nyingi kuliko hadhi yake na pia alikuwa anatumia pesa kuwahonga polisi kwa miaka mingi.
Picha ni baadhi ya manusura ya kufunga hadi kufa kama YESU
USSR View attachment 2599766
Aliwapiga fix ili achukue viungo hakuna Cha kufunga Wala Nini.Mbona yeye huyo nabii kanenepa kama hajawahi funga hata siku moja