luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Mar 9, 2019 #1 Pitia link iyo ina story ya binti aliyetaka kujiua kisa kugombea chapati na shangazi yake pale mjini Kisumu ni binti wa miaka 20. Wazazi Embu Jalini watoto wapeni kipaumbele ktk kila jambo
Pitia link iyo ina story ya binti aliyetaka kujiua kisa kugombea chapati na shangazi yake pale mjini Kisumu ni binti wa miaka 20. Wazazi Embu Jalini watoto wapeni kipaumbele ktk kila jambo
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,907 Mar 9, 2019 #2 Si angekuja chuga angekula machaparara ya laaaana? RIP Young kilimanjaro