Kenya: Binti wa kidato Cha kwanza auawa baada ya kunaswa akifanya mapenzi kwenye nyumba ya baba yake

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Polisi wa Kaunti ya Murang’a nchini Kenya wanamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 41 kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kike (16) anayesoma form one baada ya kurudi nyumbani kwake na kumkuta mtoto wake huyo akiwa na mpenzi wake kitandani wakifanya mapenzi ndani ya nyumba ya baba yake.

Polisi wamesema Baba huyo alimpiga mtoto wake huyo aliyekuwa akisoma katika Shule ya Sekondari Sabasaba hadi akafariki na kutokana na hofu ya kukamatwa aliamua kuutupa mwili wa mtoto wake ndani ya karavati (Culvert) lililopo Barabara ya Kenol – Sabasaba umbali wa mita chache kutoka nyumbani kwake ambapo mwili huo ulionekana na Wapita njia.

Polisi wanasema walikuta damu kwenye suruali ya mwanaume huyo wakati wa upekuzi na walipombana akakiri kumuua mwanae huku akisema mpenzi wa mtoto wake waliyekuwa kitandani na mtoto wake alifanikiwa kukimbia.
 
Rest in peace! Huyo msela katorokea wap, na kapata wapi ujasiri kunyandua dem kwao wakati tulikubaliana mwaka huu tusifanye huo ujinga
Mimi nilishamkula manzi wangu kwao. Tena alikuwa anasoma form four mimi nikiwa form six. Nikabeba na kitimoto kabisa akapika ugali tukajifungia chumbani kwakwe tukala kisha nikamla. Mpaka jioni mida ya wazazi kurudi nikachomoka. Ilikuwa ndio njaro zetu.
 
Rest in peace! Huyo msela katorokea wap, na kapata wapi ujasiri kunyandua dem kwao wakati tulikubaliana mwaka huu tusifanye huo ujinga
Jamaa ana roho ngumu lakini pia alipata upenyo wa kutoroka baada ya baba kuwa busy na kichapo kwa mwanae
 
Kuwa makini
 
Duh 🙆🏿‍♂️ Huyu mzee katili kweli
 

Hahaaa unaroho ngum mkuu usirudie tena watu sikuizi hawana huruma ukikamatwa
 

Baba wa hovyo kupitiliza
 
Hahaha kwanza mnaongea sheng ya Kenya kwa nini? Uduanzi, njaro, manzi yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…