MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Aisee kwa hizi nyakati Bording School ni bora zikafutwa kila mzazi alee watoto wake mwenyewe, hii ya kutegemea sijui Matron ati ndio akufundishie tabia mtoto ni kujidanganya.Wazazi kila mmoja abebe msalaba wake make watakapo haribika hasara haitakuwa kwa Matron.
Enzi za giza ilikuwa hakuna shida kwa Bording, ila kwa utandawazi huu aisee bording nazani iwe ni huko vyuo vikuu basi.
Kwa kifupi hizi nyakati sio kama zile tumesoma sisi, Watoto Bwenini ubakiya wana milk smart phone tena za pesa ndefu wana acces kila kitu, unategemea nini?