Kenya budget larger than rest of EAC combined

Ungeeleweka kama ingekuwa Rwanda ina bajeti kubwa AM basi tungekaa kujadili kwa maana sio kawaida, vinginevyo nafikiri wewe na ninaamini ni mkenya uko kama wakenya wenzako ambao mnakwenda shule kujifunza kiingereza na sio vinginevyo![/QUOTE]

kama ukiangalia kwa ukubwa wa nchi, idadi ya watu nk, Rwanda inabajeti kubwa zaidi ya mara kumi ya Tz, na mlengo wake ukiwa katika elimu na ubora wa maisha ya mwananchi.

sisi ndio wa mwisho, vimeo!
 
kuna mmoja mstaarabu hapa...:dance::dance:

Thanks very much and more suggestions for your reading from another member of JF below

 
Hivi East Africa kuna economy au uchumi wowote? Labda tulazimishe tu lakini economy ni zero. Sifuri. kuna makampuni zaidi ya 20 duniani yana pata profit zaidi ya budget za nchi zote za E.A combined. Sasa usihesabu turnover. Makusanyo ya kodi nchi zote zetu combined yanatolewa na kampuni moja kwa wenzetu. Kwa hiyo kuna kampuni leo ikiamua kuhamia Tanzania au Kenya basi watu wengine wote hawahitaji kulipa kodi hata shilingi moja, na mapato ya kodi yatabaki pale pale.
 

hii sasa ndo tunaita ungwana.asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…