Kenya: Bus la Tahmeed limeteketea kwa moto.

Kenya: Bus la Tahmeed limeteketea kwa moto.

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
22,135
Reaction score
48,827
Bus la Tahmeed lililokua linatoka Lamu kuelekea Garisa limeteketea kwa moto maeneo ya Gamba (Tana River). Abiria wote walifanikiwa kutoka salama kabla ya Bus kuteketea kwa moto.
0ce1f93dd0f8ec5c36e1d5ee42c8d72b.jpg
fb246198362b014b1175bc8532f8678b.jpg
b092d51570fb5d4f55d8f75095be6c21.jpg
 
Nasikia sheeia mpya ya habari inakataza kuweka picha maana 'utawashtua' na kuwasababishia presha wamiliki wa basi!
 
Nadhani hii kampuni inaongoza kwa mabasi yao kupata ajali za moto, na si kupinduka ama kugongana na ahueni yake ni abiria wanapona ila mali zinapotea.

Kama ni uchawi wa kibiashara, basi afadhali uchawi wa kampuni hii ya Tahmeed, ambao unau guza mali kuliko uchawi wa wale jamaa wengine ambao lazima waue "kafara ya damu za watu"
----------------------------------------------------
Natania tu.
 
I swear JF threads leave much to be desired
 
Back
Top Bottom