Nadhani hii kampuni inaongoza kwa mabasi yao kupata ajali za moto, na si kupinduka ama kugongana na ahueni yake ni abiria wanapona ila mali zinapotea.
Kama ni uchawi wa kibiashara, basi afadhali uchawi wa kampuni hii ya Tahmeed, ambao unau guza mali kuliko uchawi wa wale jamaa wengine ambao lazima waue "kafara ya damu za watu"
----------------------------------------------------
Natania tu.