Kenya buys more goods from Tanzania despite trade row

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Tanzania sold more goods to Kenya in the 10 months to October despite cutting back on consumption of locally made products.

Data by Central Bank of Kenya shows that imports from Tanzania increased by 25.44 per cent to Sh13.264 billion in the January-October 2017 period compared to a year earlier.

This came as Kenya’s exports to Tanzania in the period plunged to a 10-year low amid unresolved trade spats between Nairobi and Dar es Salam, hurting local manufacturers and traders.

Exports to Tanzania in the period to October dropped 18.9 per cent to Sh23.38 billion with trade between the two countries remaining in favour of Kenya despite the gap narrowing.

Tanzania is the fourth largest seller of goods to Kenya behind South Africa (Sh53.094 billion), Egypt (Sh28.868 billion) and Uganda (Sh27.490 billion).

Kenya imported goods valued at Sh159.660 billion from Africa in the 10-month period, 43.02 per cent or Sh48.022 billion more than the same period in 2016.

Kenya and Tanzania have had on-and-off trade disputes despite the two belonging to a common market which allows for free movement of goods, people, labour, services and capital within six member countries.

Kenya largely imports wheat, textiles and clothing, hides and skin, oil seeds, vegetables, rice, paper and paperboard, footwear, wood, plastic and rubber, among other products from Tanzania.

In recent years, traders have increasingly also been importing cooking gas through the Tanga and Dar es Salaam ports on grounds of cheaper costs and trucking it in through the Namanga border, prompting a temporary ban by the Energy ministry in April 2017.

READ: Kenya, Tanzania seek to end trade dispute

The ban followed Tanzania slapping a restrictive 75 per cent duty on cigarettes from Kenya, prompting the signing of a temporary win-win trade pact between President Uhuru Kenyatta and his counterpart John Magufuli last July.

The deal in Nairobi eased restrictions on wheat flour and cooking gas imports from Tanzania which extended a similar gesture on milk and cigarettes exports from Kenya.

Tanzania Food and Drugs Authority’s (TFDA)has in the past demanded that Kenyan firms exporting to Tanzania register, re-label and retest goods which have already been certified by authorities such as Kenya Bureau of Standards and Kenya Plant health inspectorate Service (Kephis).

Kenyan products subjected to retesting, re-labelling and registration in Tanzania are largely food, cosmetics, wooden pallets and cigarettes, with retesting process alone costing as much as $1,000 (Sh103,200), according to KAM.
 
Dengu choroko na mahindi pia wanakuja wanunuzi wengi toka kenya
Kwao wanatengeneza buskuti na vyakula vya kwenye makopo kisha wanakuja kutuuzia wa tz
Hapo ndipo napowakubali wa kenya
 
Unajua Wakenya wapumbavu sana sasa kama wana-export maziwa Tanzania na all their stores have collapsed wana-expect vp more goods to be sold in Tanzania where each day a dairy is opened?
 
Naskia sasa hivi watz mnabugia maziwa ya Brookside, 'Made in Uganda'. Hahahahaha 😀 hii movie ni kali kama zile za Mr.Bean!
 
Mi hivyo vimaziwa hata sijawai viona
Kuwa na subira jombaa, utaviona tu. Matatizo kiasi ya distribution tu. Tupo kwenye shughuli ya kufuta jina la Kenya na kuweka la Uganda kwenye kila pakiti.😀
 
Kuwa na subira jombaa, utaviona tu. Matatizo kiasi ya distribution tu. Tupo kwenye shughuli ya kufuta jina la Kenya na kuweka la Uganda kwenye kila pakiti.😀
Loser[emoji23]
 
Na bado my frnd... Mahindi Na vitunguu swahum. Vitungu Maji. Maparachichi. Mchele. Ngozi alizeti. Shaba. Necol. Tanzanate. Nk
 
Na bado my frnd... Mahindi Na vitunguu swahum. Vitungu Maji. Maparachichi. Mchele. Ngozi alizeti. Shaba. Necol. Tanzanate. Nk
It's almost all veggies, fresh fruits and other farm produces are importing from Tanzania bei za vyakula Kenya ni za hovyo Tanzania mtu unaenda sokoni na elfu 2 unatoka na mzigo wa kubeba watu wawili.

Kenya wakija Tanzania wanashangaa masokoni kumejaa matunda ya kila aina, vegetables za kila aina tena kwa bei rahisi na muda wote wa mwaka vitu kama mchele huko Kenya ni anasa mchele anaekula tajiri wa kenya mlalahoi wa Tanzania hali, ngano ndio balaa bidhaa za bakery Kenya ni ghali sana.

In short Tanzania we enjoy the quality of life ni hivyo maybe wengi hawajafika Kenya ila is the horrible place to live especially when you are raised in Tanzania.
 
Naskia sasa hivi watz mnabugia maziwa ya Brookside, 'Made in Uganda'. Hahahahaha 😀 hii movie ni kali kama zile za Mr.Bean!
Mkuu, Brookside ni only one product,
Unless you born in 2000's
I remember when I was a Kid, early 1990's about 50% of all home goods was Imported from Kenya, mama yangu alitumia Mafuta ya Kula, Chumvi, Vipodozi, Na vinginevyo vingi Made in Kenya,
Yaani kama hamkuendelea kipindi kile ndio basi tena,
Things Have changed a lot,
Hata hizo maziwa kwa sasa ni vigumu sana Kupambana na Tanga fresh, ASAS Dairies Ltd, Dar Fresh, AZAM, MARA fresh, n.k
Kwa sasa uzalishaji tz umepanda kwa kasi sana Tz na kwa hii Sera ya Industrialization inayotekelezwa na Serikali ya JPM ndio kabisa inawamaliza,
Mnatakiwa kuangalia mlipokosea or mtabaki nyuma peke yenu.
 
Hawa wanalohitaji na wanalopenda ni sifa tu za kijinga, hawajali wala hawakubali kujiuliza kwanini nchi yao inaporomoka kwa kasi, njaa, unemployment, insecurity, big gap between rich and poor, corruption, tribalism inayosababisha nchi kugawanyika, yote haya ni mambo ya msingi kuyafikiria na kuyafanyia kazi, utashangaa wanakuja na mambo yasiyo na faida sana kama flyovers, skyscrapers, UN headquarters, ili wapate sababu ya kujisifu.
 
Sasa kinachofuata ni kuhakikisha kuwa bidhaa zinazouzwa kenya ziuzwe na watanzania wenyewe! Tofauti na sasa ambapo nyangau huingia wenyewe hadi mashambani na kuwanyonya wakulima wetu kisha kubeba mazao na kwenda kuyauza kwao kwa bei kubwa,tusiishie kushangilia kuuza tu,tuangalie thamani ya kile tunachokiuza!
 
Reactions: Oii
Quality, quality, quality. Hakuna popote tulipokosea, mwendo sasa hivi ni S.Sudan na Ethiopia. New Kenyan frontiers for business. Yaani vile viwanda ambavo vipo Kenya sasa hivi, we acha tu. Vinazidi kuongezeka kila uchao.
 
Quality, quality, quality. Hakuna popote tulipokosea, mwendo sasa hivi ni S.Sudan na Ethiopia. New Kenyan frontiers for business. Yaani vile viwanda ambavo vipo Kenya sasa hivi, we acha tu. Vinazidi kuongezeka kila uchao.
Hahahaha,
Sasa huko South Sudan mtauza nini? Brookside Maziwa?? South Sudanese na maziwa wapi na wapi?
Acha kunichekesha msee? Be serious.
 
Ila mukumbuke hayo maziwa yanayotoka kenya ,kule wanafanya package tuu ila maziwa fresh ya ngombe tunawauzia sisi . Kwa watu wakaskazini watanielewa maana huwa wanaona wakenya wanavyokusanya maziwa fresh asubuh.
 
Ila mukumbuke hayo maziwa yanayotoka kenya ,kule wanafanya package tuu ila maziwa fresh ya ngombe tunawauzia sisi . Kwa watu wakaskazini watanielewa maana huwa wanaona wakenya wanavyokusanya maziwa fresh asubuh.
Walikua wanafanya hivyo kipindi kile wanamiliki kile kiwanda cha Tanzania diaries company ya brookside lakini baada ya Magufuli kuwafukuza walishaondoka Arusha
 
Walikua wanafanya hivyo kipindi kile wanamiliki kile kiwanda cha Tanzania diaries company ya brookside lakini baada ya Magufuli kuwafukuza walishaondoka Arusha
Walifukuzwa? Dah, nilidhani walilemewa na ushindani wa wabongo kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…